Wauza majeneza na usemi wa "karibu tena"


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
40,021
Likes
8,862
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
40,021 8,862 280
Jamani hawa watu sijui niwaweke kundi gani
nilipita pale manzese nikasema nimsalimie best yangu mmoja
anauza yale mambo ya coffin baada ya muda ikaja
benzi wanaitaji jeneza...wakaednda wakaonyeshwa wakalipenda
wakaamua kununua nikaona makaka wanatokea na yale mataji wakamkabishi
yule baba akasema apana ahsante akaambiwa chukuwa mzee akasema zimeshaisha jamani...wakmwambia mzee hii ni ubani wetu mataji 5 ukinunua
kwetu duh mzee akafurahi kweli.....wakati wanaondoka nikasikia mzee ahsante sana mungu akubariki
"""KARIBU TENA"" BABA

mmmh huu usemi ulintisha kweli jamani watu wamefiwa unasema wakaribie tena yaamaanisha twakaribisha msiba wa pili...mmmh jamani hizi karibu tena tuziangalie sehemu zake
 
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
31
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 31 0
wakmwambia mzee hii ni ubani wetu mataji 5 ukinunua
kwetu duh mzee akafurahi kweli.....
kumbe mfiwa na yeye alifurahi eeh? ndiyo maana aliambiwa karibu tena!
 

Forum statistics

Threads 1,250,976
Members 481,550
Posts 29,753,061