Afande mwema rekebisha askari wako;wampiga dreva tax na kumwacha na ulemavu - kasulu


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,870
Likes
8,689
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,870 8,689 280
Ndugu mwema habari ya saizi,natumaini umelala hivi sasa
kama utaabahatika kuamka asbh naomba uamke kuminambili uonepolisi
wako walivyomfanya dereva tax pale kasulu ,...walienda wakamdai ameiba diesel wakamsachi wakamkosa na hiyo diesel,ati wakaenda kwenye mabegi kusachi diesel..jamani hawa polisi wana akili kweli???
Baada ya hapo wakampiga na kumpeleka kituoni,..ndipo jumuiya ya waendesha tax walipoamua kwenda kwa mkuu wa mkoa ,..kabla ya kumjulisha polisi wamempeleka mahakamani kwa kosa la wizi na mauwaji..walivyopata taarifa mkuu wa mkoa anajua ushenzi wao wakaenda kubadilisha mashtaka mahakamani...jamani huu si uhaini......????
Hawa mapolisi kwa nini wanatesa hivi
sasa mmeamini wengi wanaenda mahakamani kwa kesi za kusingiziwa na hakimu anamweka mtu ndani miaka 30 bila uthibitisho hii si laana??

mbunge DEOGRATIAS NSAZUNGWAKO ameapa kulifwatilia swala hili na kusema lazima haki ipatikane

WAKATI HUO HUO MH MWEMA AMESEMA KAMA WANANCHI AMTAKI KUSHIRIKIANA NA POLISI WAHALIFU WATAPATIKANAJE???
MI NAHISI NI VIZURI MH MWEMA ONDOA HAO WAHALIFU WAKO HUKO KASULU NA PALE MAGOMENI,MSIMBAZI NA TAKATAKA NYINGINE KAMA HIZO NDIPO UWAAMBIE WANANCHI..IWEJE TUUNGANE NA WAUWAJI AMBAO WANAUWZO WA KUMPIGA MTU..KUMTENGENEZEA MASHTAKA FEKI,..LEO HII YULE BABA ATEMBEI BILA MAGONGO MAISHA YAKE YOTE SI UUWAJI HUU??
More info

ITV HABARI ASBH
 

Forum statistics

Threads 1,237,246
Members 475,501
Posts 29,282,533