Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Kweli nyani haoni kundule lake, hawa jamaa WAJUAJI wa clouds tena kupitia kipindi chao cha Power Breakfast show huwa wako mstari wa mbele kukosoa mambo mengi sana lakini leo nimewabamba. Website ya clouds haifanyiwai marekebisho kwani mpaka sasa inaonyesha watangazaji wa PB ni kina Kipanya duh. Gerald na Barbara mnakumbuka jinsi mlivyoikosoa website ya ikulu kuwa haiko updated vipi huu ukurasa wenu hapa??? http://www.cloudsfm.co.tz/cont_pbfast.php