Tufanyeje ili tuwatoe hawa CCM

upele

upele

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2010
Messages
364
Likes
0
Points
0
upele

upele

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2010
364 0 0
naona watanzania tunazidi kumaliziwa nyetu mara madini au rasilimali zote ziishe nimepata nyeti kuwa hao wote wana mijihela kibao nje
Conquest
 
Tumsifu Samwel

Tumsifu Samwel

Verified Member
Joined
Jul 30, 2007
Messages
1,405
Likes
7
Points
135
Tumsifu Samwel

Tumsifu Samwel

Verified Member
Joined Jul 30, 2007
1,405 7 135
Eeh hii nayo ni Break News? SISIEM hamuwezi kuiondoa madarakani labda wao wenyewe wepende iwe hivyo maana Watanzania ni wadanganyika na wafuata upepo unakovuma,pole sana kwa kuwa na uchungu na nchi yako.

Ushauri: Jaribu kujiunga na CCJ labda umanawea kufanikiwa kuiondoa sisiem madarakani Lol!
 
Papa Mopao

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Messages
3,407
Likes
446
Points
180
Papa Mopao

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2009
3,407 446 180

hahaha! Mtoto aliyezaliwa leo amng'oe baba yake madarakani? Ni kazi kweli kufanya hivyo labda miaka kumi wananchi ndo wataifahamu vzuri CCJ!
 
C

Cotan

Member
Joined
Feb 11, 2010
Messages
72
Likes
5
Points
15
C

Cotan

Member
Joined Feb 11, 2010
72 5 15
mkuu. subiri tu, wala usiwe na shaka kwani mwamuzi wa kweli ni wakati muda ukiwadia wote wataondoka tu.hakika hawata dumu milele wao na chama chao.
 
Tumsifu Samwel

Tumsifu Samwel

Verified Member
Joined
Jul 30, 2007
Messages
1,405
Likes
7
Points
135
Tumsifu Samwel

Tumsifu Samwel

Verified Member
Joined Jul 30, 2007
1,405 7 135
hahaha! Mtoto aliyezaliwa leo amng'oe baba yake madarakani? Ni kazi kweli kufanya hivyo labda miaka kumi wananchi ndo wataifahamu vzuri CCJ!
Nimesema hivyo kwa kuwa sijaona chama ambacho kina uwezo wa kushawishi wananchi kuiondoa CCM madarakani Labda tusikilizie mwaka huu tuone kama hata upinzani watapata viti vyakutosha bungeni....
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,674
Likes
5,076
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,674 5,076 280
naona watanzania tunazidi kumaliziwa nyetu mara madini au rasilimali zote ziishe nimepata nyeti kuwa hao wote wana mijihela kibao nje
Conquest
Najaribu ku-imagine wakati unaandika hii post ulikuwa uko katika hali gani!

Ulikuwa na hasira na pengine mikono ikawa inatetemeka, thanks God JF was there ukaweza ku-post hii post yako.

welcome to the world!, we have been crying, lamenting, blaming, cursing, and doing whatever we can while thinking what you have just posted.

Pole mkuu, jibu ni kuwa we need violent force and only by vioelnt we can conquer, these violent force does not necessarily mean war 'bloody'. What is that good and acceptable violence? I am puzzled too

With current situation ballot box is certainly not an answer! but we can complement these two methods 'good-violence' + ballot bax. we should start with something first before kupiga kura!You see that boxing ring? ukitaka kupigana lazima muwe na uzito sawa,

CCM is far heavier than all other existing parties. we need to weaken or degrade them (whatever) so that they will be in the same level as other existing political parties.

The biggest work is either we need strong parties that can fight with this giant or reduce the strength of this giant.

Two ways only, kuwapunguza nguvu, au sisi kuongeza nguvu, halafu tukutane kwenye box la kura wakati tuna guvu sawa!! fair enough I guess!

If we dont want these only methods then we should enjoy the rest of our life until we loose everything e.g natural resources etc,

Failure to do so we will be living in the delusional world.

so usitumie panga hilo!
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,152
Likes
116
Points
160
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,152 116 160
Kwa nini unataka kiondoke?? Una ushahidi gani kwamba chama kingine kitakachoingia hakitakuwa kama CCM au kibaya zaidi ya CCM. Nafikiri focus isiwe kuiondoa CCM, bali ni namna gani tunabadilisha mfumo. Walimu waandamane, wakulima wagome kulima, wafugaji wakatae kuuza mifugo yao kwa hasara etc. Kila mtanzania kwa nafasi yake awajibike na kukataa ukandamizaji usiokuwa na tija. Hili la kuondoa chama halina mshiko kwa kuwa hakuna aliyewahi kuwajaribu CHADEMA au CUF akajua kwamba wao siyo wezi na wabadhirifu kuwashinda CCM.
Yasijekuwa ya Kenya, waliiona KANU haifai, wakaiweka chama cha upinzani, at the end, kila mmoja wetu anajua ni nini kilichotokea.
 
Papa Mopao

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Messages
3,407
Likes
446
Points
180
Papa Mopao

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2009
3,407 446 180
Nimesema hivyo kwa kuwa sijaona chama ambacho kina uwezo wa kushawishi wananchi kuiondoa CCM madarakani Labda tusikilizie mwaka huu tuone kama hata upinzani watapata viti vyakutosha bungeni....
Inabidi kuwe na kampeni ya kuing'oa CCM tu si vinginevyo hapo ndo tutafanikiwa kwa mtazamo wangu!
 
Tumsifu Samwel

Tumsifu Samwel

Verified Member
Joined
Jul 30, 2007
Messages
1,405
Likes
7
Points
135
Tumsifu Samwel

Tumsifu Samwel

Verified Member
Joined Jul 30, 2007
1,405 7 135
Inabidi kuwe na kampeni ya kuing'oa CCM tu si vinginevyo hapo ndo tutafanikiwa kwa mtazamo wangu!
Mkuu, Wananchi wengi wengependa kuona badadiliko kwenye nchi yao ili kuondokana na matatizo haya tunayo ya pata kutokana na viongozi wetu wabovu tulio wachangua sisi wenyewe, kazi ina kuja pale tunakapo taka kufanya mabadiliko hayo ukiangalia upinzani unaona ndio hatari zaidi ni bora ata chama tawala hivyo ndoto ya kuiondoa CCM haitaweza kutokea labda tuwe na upinzani imara sio kama huu tulionao hivi sasa.
 
upele

upele

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2010
Messages
364
Likes
0
Points
0
upele

upele

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2010
364 0 0
bora tuangalie upande mwingine wa coin, na wenzao wale pia labda inakuwa dawa.
conquest
 
K

KunjyGroup

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2009
Messages
352
Likes
1
Points
33
K

KunjyGroup

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2009
352 1 33
Kwa nini unataka kiondoke?? Una ushahidi gani kwamba chama kingine kitakachoingia hakitakuwa kama CCM au kibaya zaidi ya CCM. Nafikiri focus isiwe kuiondoa CCM, bali ni namna gani tunabadilisha mfumo. Walimu waandamane, wakulima wagome kulima, wafugaji wakatae kuuza mifugo yao kwa hasara etc. Kila mtanzania kwa nafasi yake awajibike na kukataa ukandamizaji usiokuwa na tija. Hili la kuondoa chama halina mshiko kwa kuwa hakuna aliyewahi kuwajaribu CHADEMA au CUF akajua kwamba wao siyo wezi na wabadhirifu kuwashinda CCM.
Yasijekuwa ya Kenya, waliiona KANU haifai, wakaiweka chama cha upinzani, at the end, kila mmoja wetu anajua ni nini kilichotokea.
Upumbavu ule ule! CCM ibaki. CCM ndie chama tu. Chma kingine hakiwezi. Ujinga. Ujinga kama huu ndie sababu ya CCM kubaki madarakani. Bila CCM amani itatoweka. Upuuzi.
It happned in Zambia and by then i was there. Watu walidhani UNIP itatawala milele. They got shoocked.
Problem kubwa hapa kwetu ni ujinga. Thats why CCM hawashtuki hata elimu ikishuka. Wanapenda kutawala mbumbumbu siyo wasomi. Kuna makundi mawili hapa nchini. Kundi ndogo linao shabikia CCM nikwasababu wanafaidika nayo. Kundi kubwa ni watu wasie elewa mustakabali wa siasa wa nchi. Hawandie wadanganyika wanaopewa fulana, ibwabwa, buku 10 nk. na wanaipigia kura.
Its gonna take time watu kuamka lakini someday they will. for now all we need is wabunge wengi wa upinzani and that will be the start.
It will take 5 ro 10 yrs but they will certainly someday.
 
Quote:

Kaa!!! wewe kunji mbona umeniandama hivyo? Yaani ndo umeamua kuweka post tatu kusisitiza kitu hichohicho?? Nataka unipe sababu za kwanini ukitoe, unataka kutoa chama au kutoa watu?? sasa hapo naona unazidi kupanga red nyingi zisizokuwa na hoja. Una hoja gani ya msingi ya kuitoa CCM? Sera zake ni mbovu? Hivi Tanzania na hasa Africa shida ni vyama kweli? Mimi nafikiri tubadilike kifikra, chama kama chama kinaweza kisiwe na jipya, cha mhimu ni mtu, ambaye yupo tayari kuitumikia nchi kwa dhati. Hilo ndo la msingi.
Kusema kuna watu wanafaidi kwa kuipigia debe CCM, sidhani kama ina msingi wowote, cha maana hapa ni hoja gani unayojenga ya kuiondoa CCM? Na hicho chama kingine kina sera gani ambayo ni mpya na ni zaidi ya zile za CCM? Tusikimbilie kulalamika, tujenge hoja.
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,674
Likes
5,076
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,674 5,076 280
bora tuangalie upande mwingine wa coin, na wenzao wale pia labda inakuwa dawa.
conquest

Avatar yako na swali lako naona kuna hatari nzuri unataka kuileta! aha ha haa!
 
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Messages
2,590
Likes
16
Points
0
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2010
2,590 16 0
kwa mie nionavyo ni kwamba ccm haitatoka leo wala kesho kama viongozi wataendelea kuchaguliwa kwa staili tuliyoizoea,sipendi vita narudia sipendi vita lkn wewe uliye uliza jinsi ya kuitoa ccm madarakani kama unataka kuitoa,ni jeshi lichukue kwa muda kisha lihakikishe kwamba ccm na wote walioko ktk mmzunguko wao ni powerless ndio zifanyike harakati za kumtafuta"kiongozi wa tanzania kwa manufaa ya watanzania"lkn swali ninalojiuliza ni kwamba,je kama tutaamua kumwaga damu ili tumpate a man of the people,tuna uhakika gani kwamba huyo au hao tutakaowachagua hawatarudia kufanya yale yale au mabovu zaidi ya yale yanayofanya ufikirie kuwang'oa ccm?maana mie naona kila mtanzania anapopata nafasi anaitumia kujinufaisha na kusahau maslahi ya wengine.
pia jeshi letu sidhani kama litaweza kufanya mapinduzi maana nalo liko ndani ya mfumo huo huo.
na hata akitokea mtu kujaribu kushawishi watu wapigane itamuwia ngumu kupata suport ya raia maana tayari ccm imeshapandikiza woga ktk mioyo yetu kwamba ccm ndio chama pekee kinachoweza kudumisha amani ya nchi hii.
hivyo ninachomaanisha ni kwamba sidhani kama kuna njia yeyote ya amani itakayoweza kuingoa ccm lkn sijasema nashauri vita,nimejibu tu swali lililoulizwa.
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,369
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,369 280
What i know is that CCM can't rule and lead forever, one day YES and not necessarily tomorrow. Kila nguvu madarakani ina chembechembe za kujiharibu so wakati utafika ila sijui ni lini, wapiga kura watasema sasa basi ila kwanza lazima waumie badae watawatoa tu. Inaweza hata ikachukua miaka hamsini lakini it doesn't have the eternal ruling capacity. Kenya wengi walidhani KANU isingeweza kutoka madarakani lakini kwa sasa kishakuwa chama cha upinzani. Tatizo la Bongo ni kutokuwa na msimamo wa dhati na sera thabiti zinazoweza wafanya wananchi wawaamini wapinzani. Mara nyigi tumeshuhudia walokuwa wapinzani wakubwa wa CCM wanarudisha kadi na kwenda tena CCM na hii inawafanya wananchi wajiulize kama hawa walioko hawatawasaliti wananchi na kurudi CCM. Kwa sasa hata kama nchi inatafunwa na wachache tunapaswa kujipanga kikamilifu ili kuwaondoa madarakani vinginevyo itawachukuwa muda na jasho jingi!
The Analyst!
 
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Messages
2,590
Likes
16
Points
0
cheusimangala

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2010
2,590 16 0

Avatar yako na swali lako naona kuna hatari nzuri unataka kuileta! aha ha haa!
hahaa si mchezo,hata mi nimesoma swali la mkuu halafu nilipoona hiyo avatar nikajikuta nikitafakari mambo mengi yakutisha..!du!
 
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
3,561
Likes
94
Points
145
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
3,561 94 145
tufunge na kuomba mungu awaangamize wote kwa vifo vya ghafula wao na watoto wao wote ndivyo tutatokomeza udhalimu wao wote na taifa litapona
 
M

mmakonde

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2009
Messages
967
Likes
20
Points
0
M

mmakonde

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2009
967 20 0
Hata CCM ikiwa madarakani,tunachotaka ni bunge imara,mahakama huru na serikali inayowajibika.
-Assume tuna akina Slaa 20 bungeni!
-Assume tuna mahakama huru,inaweza kuhukumu mafisadi mara moja.Hapa tuwe na Prosecutors na lawyers wamekula kiapo kulinda maslahi ya taifa.Vunja hii TAKUKURU,
Presecutors ndio wafanye kazi hii.Tupate wa akina Spitzer wa TANZANIA
Malawyer wawe na etthics kali,akina Malegesi,Mkono na wengineo wengi wanapeta mpaka leo.
-Tumefuata mfumo wa UK,you see SFO,wameshindwa kuadhibu mafisadi wa BAE.UK ni hypocritical nation,huwezi kupata Madoff hata mmoja gerezani.UK ni nchi inapokea dirty money from Middle East ,Russia na Africa!Huwezi kufanya hivi State.
 
Forum statistics

Threads 1,251,007
Members 481,556
Posts 29,753,990