Ajali ya ATC: TCAA tunahitaji report; wahusika wawajibishwe


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
40,006
Likes
8,829
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
40,006 8,829 280
Hii imekuwa ni mizaa ya tcaa kila siku ajali zinatokea akuna kinachoendelea
watu wakifa ndio wanakumbuka kuwawajibisha watu......

Bado tunaendelea kufwatilia chanzo cha ajali halisi ila bado kuna sehemu ya utata ambayo inasumbua natumaini tutapata uhalisia.

Kuna mambo ambayo naomba TCAA wayaweke wazi kama tatizo ni rubani , uwanja,waliohusika kusimamia uwanja siku hyo naomba wawajibishwe ili iwe fundisho,........ukiangalia anavyosema rubani kwamba ndege ilipiga dimbwi maji yakaingia kwenye injin yakaivuta,..ndugu watannzania wakati ndege ikishuka kuna watu wanakaa m kadhaa na zile za kuangalia kama kuna kitu kibaya kwenye uwanja na hata kama ndege imeshatua inacofanyika anaambiwa wanafanya turnround,...sasa huyu mtu alikuwa amelewa ama,??

PILI
Kuna swala ambalo linawasumbua sana wasimamizi wa ndege wa mwanza na dar es salaama,wengi wanakuja abh wakiwa wana hangover,hili jambo limesemwa sana lakini hakuna anaewafwatilia...anyway tuombe isitokee ajali

TATU
Rubani nae nina uhakika alikuwa ana nafasi ya kuplay part yake,...akiwa mbele natumaini anaona hadi dimbwi na kama akiliona kuna uwezo wa kulikwepa sasa yeye kama rubani ilikuwaje akaliingia moja kwa moja???

kuna ajali moja ilitaka kutokea Birnmngam NDEGE ilishatua kabisa kumbe kati kati ya uwanja ndege kama 40 walikuwa amelala mashaller akamjulisha contoller faster ruban akajulishwa na ile ndege ikanusurika na ajali

Tunachoomba, wahusika wawajibishwe bila kuangalia sura za mtu na kama ni uwanja walisimamia siku hiyo wawajibishwe,..kama ni marubani nao wapewe haki yao
 
Mwalimu

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
1,492
Likes
284
Points
180
Mwalimu

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
1,492 284 180
Waongoza ndege wanawajibika 100% kwani wao ndio walitakiwa kumwambia rubani kuwa runway ina madimbwi ya maji atafute njia nyingine au asitue kabisa.
 
HeartBreak

HeartBreak

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2008
Messages
346
Likes
5
Points
33
HeartBreak

HeartBreak

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2008
346 5 33
kweli !!!! wapewe haki yao ya uzembe.nchi itaendelea kwa kufata haki na utawala bora.....
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
40,006
Likes
8,829
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
40,006 8,829 280
kweli !!!! Wapewe haki yao ya uzembe.nchi itaendelea kwa kufata haki na utawala bora.....
lazima watu wawajibishwe especially inapohusu maisha na roho za watu

nimehesabu kuna madereva 7 mpaka sasa wamehukumiwa miaka 30 kati yao 3 awajulikani walipo....4 ndio walikamatwa wakaenda ndani kwa kusababisha ajali...so na upande wa ndege hawa waongoza ndege ama marubani kama walihusika wajutie uzembe wao incase ingetokea ajali wangeua watu wangapi....

Vile vile kumbuka rubani nae ana descrition ya kuamua
so si kwamba awa jamaa wamefanya uzembe na rubani aone dimbwi avamie just sababu akuambiwa...ukiwa unaland unaangalia mbele so nao wajieleze vizuri ....

Mwisho wa siku watu wakiona ndege inatua ama inaruka wawe na adabu
 
C

chororingo

Member
Joined
Jan 15, 2008
Messages
63
Likes
27
Points
25
C

chororingo

Member
Joined Jan 15, 2008
63 27 25
mi kwa maoni yangu nadhani ndege huenda ilikuwa na matatizo kwenye system ya matairi. Tarehe 26 Feb wakati nikiwa nasubiri ndege ya emirates kwenda india, niliona mafundi wakirekebisha tairi ya nyuma kushoto. bahati mbaya ndege yetu ilikuwa na matatizo kwa hiyo hatukusafiri siku hiyo. kesho yake tarehe 27 feb wakati tukijiandaa kusafiri na emirates bado mafundi walikuwa wakirekebisha lile tairi na ndege hiyo haikuondoka siku hiyo. nilikuja kushangaa kesho yake tarehe 28 feb kusikia ndege imepata ajali mwanza na tairi ya ndege kuchomoka. kama tatizo ni mvua, je huko angani inakuwaje wakati mvua inanyesha. Mbona injini haikuzima kabla haijakamata barabara kwani mvua ilishakuwa inanyesha. je hii ni mara ya kwanza kwa ndege hiyo kutua kwenye uwanja wa mwanza wakati wa mvua? Mbona sisi tulipofika dubai siku hiyo usiku tulikaa angani zaidi ya saa moja kwa sababu ya mvua kuwa kubwa na injini haikuzima na baadaye tukatua kwenye uwanja wenye maji bila injini kuzima? Tunaomba maelezo
 

Forum statistics

Threads 1,250,061
Members 481,189
Posts 29,719,533