Bungeni tunafwata pesa ama heshima ama kuikomboa jamii


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Jamani jana nilikuwa naangalia tbc kulikuwa na mada nzuri sana
walikuwepi mama abdallah,,mama nkya wa tamwa na mbunge mmoja sikumbuki jina...ahpo ndipo niliamini yule mama nkya ni kichwa cha ziada tanzania....aliweka wazi watu wanakimbilia ubunge kufwata marupu rupu...akauliza mama abdallaha mbona ma prof wanaacha chuo na kuja wakati kuna hela akaullizwa na mama unajua waanachukua sh ngapi kwa mwezi...baada ya hapo mbunge mwingine akadai ubunge ni kwa ajili ya jamii na heshima mama nkya akamwambia mbona prof ni heshima kubwa kule anaenda kufanya nini??yule mbunge aliishia kutikisa kichwa.....

watu wakwahoji nyie wabunge ,mlioingia huko bungeni embu kaeni then muwe na tabia ya kuwaachia wenzenu..mbona mnaakaa sana mama anna abdallah mpka leo ni mbunge toka nikiwa mtoto ni mbunge mpaka leo..je huu si ubinafsi na kama si pesa mbona awaachii wenzake......

mhhh kazi kweli kweli
 

Forum statistics

Threads 1,236,241
Members 475,029
Posts 29,251,349