Shy rose asimikwa naibu kamanda kata ya kijitonyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shy rose asimikwa naibu kamanda kata ya kijitonyama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maria Roza, Mar 12, 2010.

 1. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,759
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
 2. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi, huu ukamanda unagaiwa kama pipi? Ni vigezo gani vinatumika? Au mtu ukiwa na kaumaruufu tu ndio unapewa?

  Halafu wanamcommandeer nani haswa?
  Kwa CCM ipi? Hii ya the Noughties? 2000-2010?
   
 3. M

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hongera sana dada, kwani umejipiga promo sana na mambo yalli goma kila wakati , ni vizuri kuanzia hapo maana sas aukokaribu kabisa na watu muhimu , endeleza ndoto zako mama!
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,418
  Likes Received: 2,663
  Trophy Points: 280
  ndiyo ameshakuwa mkuu wa wilaya huyo kwa standard za Kikwete, na kwa sababu mweupe basi unaibu waziri au uwaziri haukosi, Ridhiwani yuko pembeni akimpa uhakika! LOL! Tanzania ina wenyewe!
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ...Moja. Ujuwe kujikomba kwa wenye chama chao! Mbili....endeleeni.
   
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,230
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  Mbona wamesogeleana sana hawa? salama hapo!!

  Chama siku hizi bwana nimeona majuzi eti na kina Michael Wambura aliekuwa kiongozi wa Simba ni kamanda!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Anapenda sana uanasiasa huyu dada, acha aanze huko atasonga mbele!
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Haya tena, anayeshikilia jimbo husika akae mkao wa mchuano !!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Jimbo gani tena mkuu! Halafu hiyo avator yako du!
   
 10. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Jimbo husika, iwe Kinondoni au Kawe, mimi siijui mipaka ya majimbo ya Saridalama. Avatar imekuaje mkuu?
   
 11. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uko ryt mkuu... hata mimi ningependa kufahamu vigezo kwa kweli........
   
 12. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah! sasa kama ni mlalahoi sauti ya kujikombea itasikika kweli???????
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hivi haiwezekani mtu akajiandalia katafrija kama hivi alafu akaita mtu amsimike?
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,466
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 0
  Atakaye hachoki akichoka jua keshapata.Hongera mdada.Endelea kidogo kidogo hadi ufike juu!
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mm nina wasiwasi na hawa wanao nunua uongozi dawa nikupiga chini tu.
   
 16. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ha ha hA!
   
 17. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,637
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  United Kingdom of TZ... Pamoja na wanaojikomba-komba... Tonny Kingunge Mwiru ndio Kamanda,Shy-Rose Msaidizi wake... KIGUUUMU CHAMA CHETU...
   
 18. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wasiwasi wangu ni kwamba wataanza kula mahela yake ya NBC halafu watamla na yeye na huo ubunge ataukosa. sisiemu ina wenyewe bwana||
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huyu mama huwa namwona mwona NMB kwenye kugawa gawa misaada wao huita shughuli jamii.
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Mpwa huyo anagawa gawa nini?
   
Loading...