Jerry Muro.......any updates pls !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jerry Muro.......any updates pls !!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FirstLady1, Mar 12, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  12-03-2010 Leo ilikuwa ni Kesi ya huyu Mtangazaji wa TBC one ..Kuna yeyote aliye na update mpaka sasa Kesi inakwendaje??MJI na wengine tupeni news
  weekend Njema
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Michael bado ana chunguzwa na Taka-kuru hivyo wana hii delay case yake, imepigwa kalenda.
  Mmhh kumbee leo ni Weekend? nilikuwa nimejisahau kabisa duh!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  mmh CarthBertL uchunguzi gani huo
  haya ngoja tusubiri
  thanx
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mwacheni apumnzike jamani maana yaliyo mkuta anajuuuuuuuuuuuuuta
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kama kweli alipokea rushwa na aende ndani bana!
  How come unapreach usafi wakati weye ni mchafu!
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  duh! Uwe na weekend njema pj
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duh hii sasa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu...........
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Kumbe sasa amepumzika tu anapunga upepo wa bahari!
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  True PJ dogo alishajisahau!
  Naongeza senksi
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Si bora iwe hivyo mtu anaishi kama digi digi sasa hivi marafiki wote wamemkimbia hata ofa za bia hakuna.
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Apumzike wapi hata simu hatumii anaona ka mzigo mkewe ndo anamsaidia.
  Jani likidondoka kwenye paa pressure inapanda na kushuka!!!
   
 12. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,073
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Michael Wage is a burning candle...

  Msamaria aliyejitolea kulisaidia Jeshi la Polishi wakati akichunguzwa na T.K. Kluu..

  Hope Geshi la Polishi litamsadia kuepukana na kadhia hili la kesi ya ubadhilifu wa mabilioni ya vijisenti vya umma kwa moyo wake wa kujitolea kulisaidia Ghesi hilo kumdhibiti J. Muro..
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kesi imepigwa kalenda mpaka tar 30 april nafikiri hivyo
   
 14. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,202
  Likes Received: 1,969
  Trophy Points: 280

  Kwa nini ajute... wakati watu wengi wanasema alibambikiziwa na police?
   
Loading...