Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Nakumbuka enzi zile ukifika form III tu katika somo la kiingereza unaanza rasmi
kusoma vile vitabu vya Waandishi mahiri wa Africa kwa ajili ya mtihani wa kidato cha nne.
Nimekumbuka sana hivi vitabu
Song of Lawino mwandishi Okot p'Bitek
The River Between - Ngugi wa Thiong'o
Weep Not, Child - Ngugi wa Thiong'o
This Time Tomorrow- Ngugi wa Thiong'o
Things Fall Apart - Chinua Achebe
No longer at Ease - Chinua Achebe
A Man of the People - Chinua Achebe
Mine Boy - Peter Abrahams
List inaendelea na kuendelea...
mdau wewe unakumbuka kitabu gani..?? unaweza kuongezea list..
kusoma vile vitabu vya Waandishi mahiri wa Africa kwa ajili ya mtihani wa kidato cha nne.
Nimekumbuka sana hivi vitabu
Song of Lawino mwandishi Okot p'Bitek
The River Between - Ngugi wa Thiong'o
Weep Not, Child - Ngugi wa Thiong'o
This Time Tomorrow- Ngugi wa Thiong'o
Things Fall Apart - Chinua Achebe
No longer at Ease - Chinua Achebe
A Man of the People - Chinua Achebe
Mine Boy - Peter Abrahams
List inaendelea na kuendelea...
mdau wewe unakumbuka kitabu gani..?? unaweza kuongezea list..