Wpendwa kuna ma traffick hapa karibu na airport
wao wako kama 7-10 wamekuwa wakijikusanya na kukaa nje ya geti la kampuni ya pepsi
hapa kidogo karibu ya kituo cha airport kuelekea mjini...jamani...
Wakuu,
Jana kupitia TBC Taifa nilimsikia Mkulima mmoja wa Korosho akisema kuwa hawajui ni umbali gani unatakiwa uwepo kati ya mkorosho mmoja na mwingine wakati wa kupanda. Habari hii kwa kweli...
Miaka Mitano Iliyopita Viongozi wa Afrika Walikubaliana kwa Kauli Moja Kuwa Ifikapo Mwaka 2020 KISWAHILI ndiyo itakuwa Lugha Kuu ya Afrika. Je Hilo Litawezekana??? na Je Tanzania Tunafanya Nini...
Dear Customer.
In respect to this email, we have been awaiting for you to contact us for the delivery of your Bank Draft of $800, 000,USD . (Eight Hundred Thousand United States Dollars)...
Hivi inachukua siku ngapi hawa watuwa RAIA MWEMA na MWANAHALISI kuweka habari mpya kwenye websites zao??
Tunanyimwa uhondo na haki yetu ya kupata habari sisi tusioweza kuaccess hard copies za...
I was watching documentary called unreported world in channel 4 in uk. They said Chinese diplomats illegally purchased and exported ivory by misusing diplomatic immunity in 2009. full link and...
Mtanzania mwenye asili ya Asia, Safina Khan, amefikishwa mahakamani hii leo huku Uingereza kwa mashtaka ya 'human trafficking' - alimleta mama wa miaka 47 kuja kumsaidia kazi za nyumbani lakini...
Doctor who 'trafficked' Tanzanian woman is first person charged with modern-day slavery
By Daily Mail Reporter
10th September 2010
A doctor has become the first person in the UK...
eid mubarak to all my muslim brothers n sisters and may allah accept our fasts inshaallah n let not kill all the fadhlas of ramadhan within the first day of shaawal...lets remember thatno one is...
...Hainiiingii kabisa akilini
kuamini kwamba wasomi wote mlioko CCM
mnakubali kwamba mikutano wa hadhara inatosha kuwaelezea wapiga kura wenu
sera zenu......
Ni kweli au ndo mnaogopa Mzee...
Mdogo wangu anauza viuma chakavu hapa jijini Dar.Mpemba ni miongoni mwa vijana wake wanaopima chuma ofisini kwake. Huyu mpemba alisema, pemba kuna viuma chakavu kibao. mdogo wangu akawapa pesa...
Nadhani trafiki wote wa jiji hili wangekua kama huyu katika uongozaji wa magari baaaasi folen ingekua haiumizi hata kidogo
Huyu dada mara nyingi yuko hapa Ubungo mataa,yani yuko fast, akiwepo...
Nikiwa Mbeya mwanzoni mwa mwezi wa sita Halmashauri ya jiji kupitia kwa mkurugenzi wake waliwataangazia wakazi wa Mbeya kwamba sehemu iliyokuwa inaitwa Stela farm (Iwambi) itagawiwa viwanja kwa...
Katika pita pita zangu nilibahatika kuona tangazo linalotangaza chuo kikuu kimoja maarufu sana hapa nchini kwetu. Tunaweza kuchangia mapungufu yaliyomo kwenye attachment ambayo ni picha ya bango...
The Dove World Outreach Center, a non-denominational church founded in Gainesville, Fla., in 1986, has outlined its plans on its website and Facebook page.
It says the burnings will be held on...
WAKUU kuna tatizo kubwa la mtandao wa TRA kwa zaidi ya siku tatu sasa na watu ambao walikua watoe mizigo tokea juzi hadi sasa wamekwama na watalazimika kulipia storage wenyewe na hata kupata...
Kuna watanzania wengi sana wanaonewa na kunyanyaswa na wawekezaji kutokana na wawekezaji kubebwa na watawala.
Katika hali ya kawaida, siyo kawaida mtu aende nchi ya ugenini halafu akawafanyie...
Profile:
Name: Mwakibete, Jacob
Born place: Mwakaleli, Mbeya
Born date: 20 June (nimetunga tu hapa)
Hometown: Seoul, Korea
Hivi mtu kama huyu unamwelewaje?
Mtu kama huyu ukimtajia neno 'NDUKI'...
Hivi naomba kuuliza kwanini tumekuwa tukitozwa kodi mara mbili katika bidhaa moja na katika nchi moja??Mathalani unanua gari Zanzibar unalipia ushuru wote TRA zanzibar lakini ukija na basi pale...