Fla. church to host a 'Burn a Koran Day' on Sept. 11 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fla. church to host a 'Burn a Koran Day' on Sept. 11

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Somi, Sep 7, 2010.

 1. S

  Somi JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  The Dove World Outreach Center, a non-denominational church founded in Gainesville, Fla., in 1986, has outlined its plans on its website and Facebook page.

  It says the burnings will be held on church grounds "in remembrance of the fallen victims of 9/11 and to stand against the evil of Islam. Islam is of the devil!" The church sells "Islam is of the Devil" T-shirts.


  In response, The Council on American-Islamic Relations is calling on American Muslims to
  host educational "Share the Koran" Ramadan fast-breaking dinners at which copies of Islam's holy text will be distributed to neighbors, public and law enforcement officials and journalists, the Orlando Sentinel
  Religion News Service quotes Outreach Center senior Pastor Terry Jones as saying the Facebook response has
  reports.prompted people to mail Korans to the church to burn.

  Jones, according to the RNS, says organizers got the idea, in part, from another Facebook page campaign called "Everybody Draw Mohammed Day."

  That was started in reaction to threats against cartoonists and artists drawing images of the prophet Mohammed, which is forbidden in Islam.

  Another story below.
  Muslims outraged as U.S. church plans to burn Koran

  Florida's Dove World Outreach Center to burn the Islamic holy text on church grounds in remembrance of the victims of 9/11.

  By The Associated Press Tags: Israel news US


  The world's pre-eminent Sunni Muslim institution of learning has condemned a Florida church's plans to host a Koran-burning ceremony on September 11.
  In a statement carried by local media on Thursday, Al-Azhar's Supreme Council in Egypt accused the church of stirring up hate and discrimination and called on other American churches to condemn the event.


  The Dove World Outreach Center is planning to burn the Islamic holy text on church grounds in remembrance of the victims of 9/11. Organizers are using its website and social-networking sites like Facebook to promote the event.

  The Gainesville church, which also campaigns against homosexuality, made headlines last year after distributing T-shirts that read Islam is of the Devil.
   
 2. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,536
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Wajinga pekee wanachoma vitabu!
   
 3. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  yap. I think Islam is of the devil, hawajakosea kabisa. huo ndio ukweli wake. si ndo maana unaruhusu kufuga majini na kusilimisha majini? kwasababu majini ni ndugu zao. alichoanzisha obama kuruhusu waislam wajenge kituo cha kiislam pale ambap waislam wenzao waliwaua raia wema, ameanzisha bom ambalo litaisumbua sana na kuigawa america kuliko hivi tunavyoiona. itasababisha chuki dhidi ya waislam kuongezeka, waislam ambao ni only two million kati ya mamia ya wakristo wenye msimamo mkali. haiingii akilini kuona sehemu ambao waislam waliwaua raia wema inataka kujengwa kituo cha kiislam. and that will never be accepted nakwambieni.
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Qur'an "a devil evil book".................it is of right decision to burn it as it has resulted to a number of terrorism in the world............burn those islamic papers and we will help you to burn them through our hearts........i believe that our god will later burn their allah.
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Sep 7, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wazichome ili kuwakumbuka waliouawa kupitia hiyo Quran! Huyu "the Black Muslim in the White House" anakumbushia machungu ya watu kuuawa kwa ndugu zao kwa kujenga msikiti kwenye ground zero!
   
 6. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  La illaha illa Allah... Subhanah wa ta'ala.
   
 7. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  do you frequent mashada as you do at jf? why that special interest?
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Chuki ipi itaongezeka dhidi ya waislamu kwa kujenga kituo cha Ibada new york. Je kuchoma misahafu ya waislamu huoni ndio itajenga chuki kwani nikama kumtukana yesu au kuanza kuchoma biblia hadharani wewe utapenda? Kwanza hilo jengo liko mtaa wa tatu wa ilipokuwa World Trade Centre sasa sijui hiyo chuki itatoka wapi? Opposite ya world Trade centre kuna kanisa la wakatoliki linaitwa St. Patrick linafanya nini pale? Ukienda mbele kidogo kuna synagogue ya mayahudi sasa kwanini waislamu wazuiliwe kujenga sehemu yao ya kufanyia ibada? Tafuta hoja nyengine ya chuki sio hii Tatizo lenu wakristo ni kuwa na mtazamo mbovu dhidi ya uislamu eti wanasilimisha majini nikuulize nyie yale maneno ya kiyahudi na yasioleweka ndani ya bible mnajua yametokea wapi? Hivi mnajua hakuna watu wachawi wakubwa kama wayahudi? Nitafsirie neno pepo na inatokea wapi na je wanaenda wapi? Wakristo wana imani lakini hapo hapo utamkuta mkristo anaamini kuna uchawi (je hii si double standard?).

  Tukirudi katika hoja ya huyu mwendawazimu wa florida namtakia kila kheri la mipango yake ila jambo litasababisha vita na chuki kubwa baina ya waislamu na wakristo. Na itaweza kujenga moto zaidi ya wale muslim fundamentalist kuimplant chuki dhidi ya wakristo ambapo moderate muslims wamejaribu sana kuiua kwani kwa kuchoma misahafu ni kutangaza vita dhidi ya waislamu. Gen Petreus wa Afghanistan ametangaza leo kuwa hilo tendo litawaweka pabaya majeshi kule afghanistan na sio huku linaweza kusababisha vita ya dunia we subiri utaona
   
 9. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pathetic
   
 10. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa bahati mbaya alie host kuchomwa Quraan amegundulika kudhalilisha kimapenzi watoto wadogo... waislam hawachomi kitabu kwani kitabu sio chenye matatizo ila........................
   
 11. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Who you are? a christian? no you are not! unajua nyie hamjui na msitake tupasuke tuseme mengi! Wakristo ndio walioleta crusade zilizopoteza mamia ya maelfu ya watu kama mauaji badi hiyo dini yako ni devil. Mpe sifa yesu kwa kufuata mafundisho yake mfano yesu alikuwa hatumiii karatasi anapoenda maliwatoni, Yesu alikuwa ananawa anaposali (ana tawadha) wewe hufanyi hivyo, Yesu alikuwa anaingia kwenye sinagogi (msikiti) wewe unaingia kanisani! Fikiria chukua hatua
   
 12. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  lisababishe vita ya dunia kwani nyie mtakitetea kitabu,kwanini tupigane kwasababu ya kitabu? kwanini hicho kitabu chenu kisijipiganie kama kina maana au nguvu yoyote. nilifikiri kuwa wakichoma mtawaombea au kuwashitaki kwa Mungu, mtapigana? dini chafu hizi jamani, kwani nini dini yenu inafundisha kupigana?

  na huyo wa afghanistan unayemtaja, ndo mtetezi wenu? unaweza kuweka reference ya gaidi kwenye dini unayoita ya mungu wako? mungu huyo atakuwa wa ajabu na kipofu. watachoma tu, na hamuwezi kuwafanya lolote..tangu wachambi.e ile koran Guantanamo bay mmewafanya nini? si walienda nayo ****** wakatawazia kabisa.., watachoma, na hakuna lolote. waislam milioni mbili hawawezi kuwa na sauti yoyote kwa wakristo zaidi ya milioni mia mbili marekani....poleni.

  mnahitaji msaada tena wa haraka, muokoke na mmpokee Yesu aikomboe hiyo mioyo yenu iliyojaa chuki.
   
 13. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo unakubaliana na mie tatizo la uislamu si kitabu bali ni waislamu sio? Basi kwanini wasiwachome waislamu wanaowaona ni devil kwanini wakichome kitabu? nadhani nitakuwa nimekujibu kwanini vita inakuja ya kidini kwamba kitabu kile ni kitabu kitakatifu kwa waislamu ni sawa na wewe na biblia yako takatifu ni sawa wayahudi na kitabu chao kitakatifu cha nabii daudi. Sasa kwanini wanachoma kitabu huoni kama wao ndio wanahitaji maombezi na sio waislamu.

  Na wewe unachekesha sana hivi nikuulize ulishaona wapi waislamu wana chuki isipokuwa waislamu hawakubali kuonewa ndio maana mkishindwa hoja mnadai waislamu wanachuki lakini nikuulize tukio hili nani anafanya muislamu au mkristo? Nani ana chuki hapo muislamu au mkristo? Nanani anatengeneza chuki muislamu au mkristo. CHUKI ZENU DHIDI YA UISLAMU NDIO ZINAPELEKEA NYIE KUWA NA AKILI FINYU KABISA ETI WAISLAMU WANA CHUKI PLEASE!!!!!
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Unajua mie nawashangaa kanisa katoliki ndio machampion wa kutangaza amani duniani yet unakuta wao ndio wanaongoza kwa kesi za kulawiti watoto wadogo!! Wakristo ndio wanajidai wanatetea maadili mazuri huku wanaruhusu ndoa za jinsia moja eti usawa in short mapungufu mengi yamo katika ukristo but ukiyaleta humu JF utashambuliwa kama mvua na wadini waliomo humu upumbavu mtupu
   
 15. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anyhow, christian or muslim never matters. In my opinion what really matters is whether you are an African or not, the rest is hear-say.
   
 16. J Kibao

  J Kibao New Member

  #16
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Absolutely tragic view that some of you posess. Is it an unreconcilable wedge you are aiming for?
   
 17. Mahanjam

  Mahanjam JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 325
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Allahu akbar! Uislamu haukuanza kupigwa vita leo,anachotafuta huyo atakipata tu. Yuko wapi Arieel Sharon? Kufa hafi wala kwenye uhai hayupo! Kweli itasimama tu! INNALLAH MASWABIRIN!!
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  sinagogi si msikiti. That is poor translation from Hebrew to swahili. Acha ulevi
   
 19. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wasifanye huo ujinga wa kuchoma maandiko matakatifu, wanaweza kusababisha ughaidi ukaenea dunia nzima. Visasai huwa vinachochea tatizo zaidi badala ya kulimaliza!
   
 20. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naomba nitofautiane na wewe. Nani alileta mambo ya kulawiti huku kwetu Afrika Mashariki? Si Waarabu! Historia inaonyesha kabisa mambo ya kulawiti kule Uganda ilianzishwa na Waarabu na hata hapa kwetu ni wazi tabia hii ipo katika maeneo ya Pwani zaidi na hilo halihitaji kubishana sana. Tofauti kati ya wazungu na waarabu ni kwamba wazungu wanafanya haya mambo wazi wazi wakati wenzetu wanaficha ndio maana watu wanafikiri ushoga ni wazungu tu!

  Hili la kuchoma Quaran kwa watu wenye akili na kujiamini It is neither here no there. What is in the book anyway? Imani iko katika mioyo ya watu sio vitabu jamani!!
   
Loading...