Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pastor Terry Jones of the little known church in America, who threatened to burn the Koran on September 11, only to change his mind later. Perhaps bowing to public outcry and pressure - has...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kada wa UDP auawa kinyama NA ANCETH NYAHORE 14th September 2010 B-pepe Chapa Maoni Kada wa Chama United Democratic (UDP), kinachoongozwa na John Cheyo, ameuawa kikatili na kichwa chake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF Tumepokea kwa masikitiko makubwa msiba wa watoto wetu waliokufa hivi majuzi baada ya umeme kukatwa ghafla. Mungu azilaze roho za wapendwa MAHALI PEMA PEPONI - aMINA Kama sikosei hii siyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
allAfrica.com: Mozambique: Mobile Phone Companies Lied About Text Messaging Haya yalitokea Mozambique, je tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu tutegemee visa vinavyofanana na hivi???
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Ni miaka 16 sasa tangu Tanzania ianze tena kuendesha mashindano ya urembo tangu yalipofunguliwa tena mwaka 1994. Lakini mara nyingi watu wamekua wakijiuliza kwanini Tanzania haifanyi vizuri katika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
GAINESVILLE, Fla. – The son of a pastor who suspended plans to burn copies of the Quran to mark the 9/11 anniversary says Islam's holiest text will not be torched at their Florida church...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wana mtandao nisaideni kwanini nchi yetu isibadilike kielimu kurundisha kiingereza toka darasa la kwanza mpaka chuo kikuu? Mimi ni moto wa mkulima nilibahatika kupata kazi nchi za nje kweli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau.. Ili kuongeza tija (na kupunguza upendeleo wa uteuzi)wa sekta nyeti za nchii km TRA,TPA, maliasili, Miundombinu.... inapotakiwa kuteua mkurugenzi mkuu wa taasisi husika..rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna tukio moja ambalo jamaa alipigwa na jamaa mwingine, kisha yule mkosaji akakimbilia kituo cha polisi kuripoti kabla ya yule aliyejeruhiwa, na yule aliyejeruhiwa alipofika akawekwa selo kabla...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, limemtia mbaroni mtu mmoja anayetuhumiwa kuhusika na tukio la ugaidi jijini Kampala, Uganda, ambapo watu takribani 73 waliuawa baada ya ukumbi waliokuwa wakiutumia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu bila shaka humu kuna wadau mbali mbali ikiwepo wale ma computer gigs Waheshimiwa nahitaji a free Adobe Photoshop version yeyote ila current version itakuwa bora zaidi Nipe link ama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Tanzania ni nchi nzuri na watu wake wana heshima ya ajabu... inasikitisha sana kuona mgeni anakuja, anatukana watoa huduma wetu na mengine mengi, lakini mara nyingi sisi kama watanzania...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Yale machungu yaliyojitokeza mwaka juzi Tabora kwa watoto kufa kwenye disco kwa kukosa hewa ....safari hii yamejitokeza tena safari hii wilayani TEMEKE ambapo watoto zaidi ya watatu wamekufa na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Time has come for us all to be at the forefront in achieving national development. This earth we are living is just a temporary home and once we are gone that’s it and no favors will be extended...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sad, sad, sad.... Tanzanians please wake up and kick CCM out. Free's many fees: School unaffordable in Tanzania MOSHI, Tanzania — To Josiah Mchome, a veteran teacher, nothing is more...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moshi (na Arusha?) mtu tajri huitwa "fogo". Akitokea Fogo ambaye ataamua kulipa "fidia" Watanzania wote ili "alete maendeleo" kwa "kuwekeza" kwenye ardhi yote ya Tanzania itakuwa sawa? Vipi kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimevutiwa na huu mradi ambao nilipokuwa Kenya hivi karibuni nilishuhudia ukianza kuonekana ni jinsi gani utaondoa tatizo sugu la msongomano wa magari kuingia na kutoka mji mkuu Nairobi. Ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtoto Sheikh Sharif Yusufu Mohammed Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana walipigana vikumbo kugombea kupata huduma ya mtoto mwenye umri wa miaka 12 anayeaminika...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Jamani mimi nimekereka kupita kiasi yaani nataka hadi kutapika kwa kukereka huko,siku hizi kuna tabia imezuka watu wanatangaza katika magazeti,mitandao kuwa wanauza vitu kwa mfano simu,kamera...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume mfupi kuliko wote duniani amepatikana nchini Kolombia akiwa na urefu wa sentimita 70 tu na uzito wa kilo 10. Edward Nino Hernandez wa nchini Kolombia ameingia kwenye kitabu cha rekodi za...
0 Reactions
0 Replies
20K Views
Back
Top Bottom