Ananikonga moyo ..

kisasangwe

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
292
52

Nadhani trafiki wote wa jiji hili wangekua kama huyu katika uongozaji wa magari baaaasi folen ingekua haiumizi hata kidogo

Huyu dada mara nyingi yuko hapa Ubungo mataa,yani yuko fast, akiwepo yeye watu hatuogopi foleni manake ni mambo ya chap chap. Watumiaji wa njia hiyo nadhani wanamfahamu. Huwepo mida ya asubuhi mara nyingi. Naomba wenye kumfahamu wanifikishie salaam. Aambiwe ananifurahisha.
 
Inatia moyo kuwapongeza wanaostahili pongezi, wanaotoa pongezi kwa kuwatia moyo wenzao watekelezao kazi zao nao wanastahili pongezi.Big up.
 
Inatia moyo kuwapongeza wanaostahili pongezi, wanaotoa pongezi kwa kuwatia moyo wenzao watekelezao kazi zao nao wanastahili pongezi.Big up.
yupo na kijana mwingine pale mataa ya fire naye ni kiboko ya foleni. Nadhani watumiaji wa barabara ya morogoro wanafahamu kabisa kuwa ukiona foleni inatembea kwa kazi ujue yupo yeye. Na hii inadhiirisha m2 akiipenda kazi yake ataifanya kwa ufanisi. Big up watumishi wote wanaotumika kwa moyo wa uadilifu .
 
binafsi kuna broda mmoja... huwa namuona zaidi pale mataa ya Fire.... anavyovuta foleni utadhania anacheza sebene... foleni zinatembea fasta.... namkubalisana huyo!!:smile-big:
 
Big up! Huyo astahili pongezi. Lakini kuna wengine wanakera, badala ya kupunguza jam waongeza. Wajifunze kwa huyo WP.
 
wanatimiza wajibu wao ila pamoja na hayo wanastahili pongezi hasa yule WP pale ubungo.
 
Nadhani trafiki wote wa jiji hili wangekua kama huyu katika uongozaji wa magari baaaasi folen ingekua haiumizi hata kidogo

Huyu dada mara nyingi yuko hapa Ubungo mataa,yani yuko fast, akiwepo yeye watu hatuogopi foleni manake ni mambo ya chap chap. Watumiaji wa njia hiyo nadhani wanamfahamu. Huwepo mida ya asubuhi mara nyingi. Naomba wenye kumfahamu wanifikishie salaam. Aambiwe ananifurahisha.

Umenikumbusha enzi za Afande Shapu pale Msimbazi alivyokuwa anasaidia kwenye foleni ya abiria kuingia kwenye daladala na UDA. Pia uwanja wa Uhuru (wakati ule ukiitwa uwanja wa Taifa) kwenye mechi za Simba na Ynaga, alikuwa machachari kwelikweli. Alikuwa na mkwara mbuzi hata hivyo, utakuta anamchimba mtu mkwara na kumwambia kwamba hategemei bastola aliyoifungia kiunoni kama kinga yake, bali ukitaka kuchapana naye anapangua vyote afu mnazipiga kavu kavu. Sijui yuko wapi Afande Shapu
 
Ni sawa ila muwe waangalifu kwani kuna mmoja pale Tazara naye ni sharp lakini anaweza kuwagonisha muda wowote.
 
yupo na kijana mwingine pale mataa ya fire naye ni kiboko ya foleni. Nadhani watumiaji wa barabara ya morogoro wanafahamu kabisa kuwa ukiona foleni inatembea kwa kazi ujue yupo yeye. Na hii inadhiirisha m2 akiipenda kazi yake ataifanya kwa ufanisi. Big up watumishi wote wanaotumika kwa moyo wa uadilifu .

Huyu kijana wa mataa ya FIRE ni kweli anajitahidi sana lakini ananikera kitu kimoja tu, KUTUMIA MKOROGO, aache bana, au ana asili ya Kongo?
 
Huyu kijana wa mataa ya FIRE ni kweli anajitahidi sana lakini ananikera kitu kimoja tu, KUTUMIA MKOROGO, aache bana, au ana asili ya Kongo?

Mi napenda tujadili utumishi wake kwa taifa hii habari ya anakaa dk ngapi kwenye kioo ni utawala binafsi pengine ndio spirit ya kazi yake, big up kwa woote wanaojituma katika hii nchi hii yenye viongozi wasiowajali watu wao, hongera kijana wa fire fanya kazi mungu anakuona.
 
Back
Top Bottom