Eid Mubarak !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eid Mubarak !!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Original Pastor, Sep 8, 2010.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  eid mubarak to all my muslim brothers n sisters and may allah accept our fasts inshaallah n let not kill all the fadhlas of ramadhan within the first day of shaawal...lets remember thatno one is guaranteed of reaching the next ramadhan,,,
  mwezi umeonekana huku chad, sudan, libya,ethiopia
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Eid njema na wewe huko uliko!..
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Huku Bongo si hadi bakwata watoe Go ahed!!
   
 4. K

  Keil JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  BJ ... mwenzako nimefunga bana, kwangu mwezi haujaandama bado. Hiyo midomo itafanya swaumu yangu isi-swihi!
   
 5. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  THanks
   
 6. H

  Haki JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Minal A'idina Minalfaidhina. What about TZ Muslims, any news on new moon?
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  We umefunga ngapi mwenzangu mana mie nimemaliza mfungo? Mwezi umeshaonekana hapa, hivyo ndo sherehe zenyewe ikiwemo kujiremba!!..Eid njema ukiona mwezi))))
   
 8. senator

  senator JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ama hakika kesho nasi tutauona so sherehe zitakuwa Ijumaa na jmosi.Sijui sala ya Eid inafanyika wapi kitaifa nami nikaazime kanzu na koti kuwakilisha..nataka kuwa jirani na aisee jamvinii
   
 9. senator

  senator JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Taarifa ya Bakwata inasema Eid itasaliwa kesho au Jmosi saa moja asubuhi kwenye msikiti wa mkwajuni Kndoni.Chanzo ITV..So naona kesho wataconfirm then tuanze long weekend aiseeeeeeeeeee burudanii kweli..ngoja tukajenge vile vyungu tulivyopasua ..wengine wanavunja viduku!!
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Bora mfungo uishe maana tuli-miss shoulders,hairstyles, migoko na heaps za warembo.
   
 11. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #11
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45

  Swala ya kitaifa itafanyika Tanga.
   
 12. K

  Konaball JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,767
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot]ssalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh, [/FONT][FONT=&quot]Ndugu wapenzi,[/FONT][FONT=&quot][/FONT] [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Tumefuatilizia sana kila pahali na tumepata taarifa kwamba mwezi haukuonekana popote duniani leo hii Jumatano tarehe 29 Ramadhaan 1431H (08-09-2010 M). Hivyo, kesho Alkhamiys tunakamilisha siku thalathini za Ramadhaan InshaAllaah, na Ijumaa (10-09-2010 M) itakuwa ni siku ya ‘Iydul-Fitwr. [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Kwa Munaasabah huu wa furaha wa siku hii tukufu ya ‘Iyd Al-Fitwr tunapenda kuchukua fursa hii kuwawasilishia salaam zetu za siku hii na du'aa njema kwenu wote, tukimuomba Allaah (Subhaanahu Wa Ta'ala) Atutaqabalie 'amali zetu na zenu ‘TAQABBALA ALLAAHU MINNA WA MINKUM' (Hivi ndivyo Maswahaba watukufu walivyokuwa wakiambiana pindi wanapokutana katika siku ya 'Iyd).[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Na tunamuomba Yeye Aliyetukuka na Mweza, Awajaalie furaha, amani, mapenzi, siha na Iymaan pamoja na karama na utukufu katika masiku yote ya uhai wetu. Mwisho, bila kuwasahau wenzetu katika du'aa zetu leo na kila siku. Ndugu zetu Waislam waliopo palipokuwa Qiblah cha kwanza cha Uislam, na Msikiti wa tatu kwa utukufu na hadhi, Palestina. Na walio katika dhiki za ukandamizwaji, vita, njaa na machafuko huko Pakistan, Afghanistan, ‘Iraaq, Sudan, Somalia, Chechnya, Bosnia-Herzegovina, Kosovo, Philippine, Nigeria, Ethiopia, Eritrea, Kashmir na pote walipo Waislamu ulimwenguni.[/FONT][FONT=&quot]Tunamuomba Allaah (Subhaanahu Wa Ta'ala) Atutakabalie du'aa zetu na za Waislam wote duniani, Aamiyn.[/FONT]
   
 13. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #13
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45

  Swala ya kitaifa itafanyika Tanga.
   
 14. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Pastor,

  Moon visibility map as of 8th Sept, shows no one in chad, sudan, libya,ethiopia could see the new moon!

  1431shw_9-8-2010.gif

  and visibility for 9th Sept

  1431shw_9-9-2010.gif

  Source Moonsighting for Shawwal 1431
   
 15. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda lugha sana, yaani kama vile sheikh anatoa mafundisho msikitini!
   
 16. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #16
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika mizunguko yangu, leo hii nipo Songea, Jioni hii nimeuona mwezi umeandama, nimeoneshwa na kikundi cha watu waliokuwa wazungumzia suala hilo baada ya kuuona mwezi. Ilikuwa saa 12:50 hivi jioni. Kwa sasa anga ni giza, mwezi siuoni tena.:smile-big:
   
 17. senator

  senator JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Juzuu zinasomwa hapa na vijana kwenye masjid ya Kndoni!
  Hapa madrasa al sul inafanya kazi yake
   
 18. damtu2

  damtu2 Member

  #18
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Barakat el Eid wapenzi wa JF....kila la heri na baraka,enjoy the day
   
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,733
  Trophy Points: 280

  [​IMG]

  Kujiremba kama hivi sio weye BJ!. Eid Mubaraka popote ulipo.
   
 20. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Aah babu kila mtu na kiwango chake,ha ha ha....vp wikend hii na Eid hukutani na yule mtoto?!!!:smile-big:

  Eid njema nawe pia!!..
   
Loading...