Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu wana JF nina mpango wa kusafiri kibinafsi kwenda Nigeria. Kama mnavyoelewa taratibu za nchi husika lazima zizingatiwe. Noamba kkuliza kama Tanzania kuna ofisi za unalozi wa Nigeria, na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WANANCHI wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza juzi walichanga sh 179, 690 kwa ajili ya kununua samani za Ofisi ya Mbunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, ameutaka uongozi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), kupunguza mlundikano wa kozi kwa lengo la kuleta ufanisi. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja wa mji wa Kentucky nchini Marekani ametupwa jela miezi 33 baada ya kupatikana na hatia ya kutunga shairi la kumtishia maisha rais wa Marekani, barack Obama. Johnny Logan Spencer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI imetupiwa lawama kuwa inawabagua katika ajira wahitimu wa kozi mbalimbali wanaofaulu vizuri kwenye vyuo binafsi hapa nchini na kuwapendelea wahitimu wanaotoka vyuo vya umma. Lawama hizo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KITUO cha Afya cha Mafiga, katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro , kimezidiwa na uwingi wa wajawazito wanaojifungua wanaofikia wastani wa watoto 500 hadi 600 kwa mwezi. Uwezo wa kituo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MKAZI wa Kijiji cha Idiga katika Kata ya Utengule Usongwe wilayani Mbeya, ametozwa faini ya Sh 200,000 zikiwa ni malipo ya fedhea kwa kijiji baada ya kukataa maiti ya mtoto wake aliyejinyonga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nakuja na hoja mpya kidogo kwa jeshi letu la wananchi, mimi na wenzangu tuliopitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga taifa miaka ile ningeomba tutambuliwe na JWTZ kama maaskari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wajameni naomba kamsaada kidogo. mimi niko huku ughaibuni na nimeshabeba mabox vya kutosha , na ningependa kurudi home kufanya biashara, nimejikusanya sana na hapo nilipo nimesave 100, 000pounds...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MKAZI wa Kijiji cha Basobeshi Wilaya ya Hanang na Polisi mkoani Manyara akituhumiwa kumuua baba yake wa kambo kwa kumchinja shingoni kwa lengo la kurithi mali. Akidhibitisha habari hizi Mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Imefahamika kwamba katika manispaa ya tarime tena tarime mjni wastani wa wasichana 100 hukeketwa kila siku,huku vyombo vya dola vikilikalia kimya suala hilo Kumbuka kukeketwa sio kosa,kosa ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani huku Bukoba raha kweli kweli Hivi sasa wale wadudu maarufu jamii ya panzi yahani senene ni wa kumwaga hapa, Pia Mgao wa Umeme tunausikia kwenye vyombo vya Habari sisi tunatumia umeme...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
30 waomba kumrithi Mrema Tanroads Imeandikwa na Frank Leonard, Iringa; Tarehe: 8th December 2010 @ 06:11 WIKI moja baada ya serikali kusitisha ajira ya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mtandao wa WikiLeaks umeendelea kutoboa siri za Marekani kwa kuelezea jinsi Saddam Hussein alivyokuwa akitetemeka kabla ya kunyongwa na jinsi maafisa wa Iraq walivyokuwa wakimtukana Saddam na...
0 Reactions
15 Replies
24K Views
Haya wanajamii, leo ni tarehe 7 Dec. Nadhani ni wakati muafaka wa kujiwekea maazimio muhimu kwa kwa ajili ya kuyafanyia kazi katika mwaka wa 2011. Binafsi sidhani kama kuna ubaya wowote, kwani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Lile jogoo la kenya lililokua na wake zaidi ya 130 hili hapa!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafikiri serikari yetu imeshindwa kuendesha inchi kama sio wameshaiuza maana umeme wanavyoukata utadhani dozi ya panadol kutwa mara tatu, hivi hawa TANESCO wanalipia mabilioni ya fedha kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Rolling Stones said it best, “You, you make a dead man cum.” A 38 year old female mortuary worker is being held on $250,000 bond after becoming pregnant by one of her clients-a dead man...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Let's discuss this topic appeared in the East African The way the linguistic situation in Tanzania is represented needs to be corrected. There are a number of languages in Tanzania that have...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…