Bukoba Raha kweli kweli,Senene kibao,Mgao hakuna!

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,049
Reaction score
773
Jamani huku Bukoba raha kweli kweli
Hivi sasa wale wadudu maarufu jamii ya panzi yahani senene ni wa kumwaga hapa,

Pia Mgao wa Umeme tunausikia kwenye vyombo vya Habari sisi tunatumia umeme kutoka Uganda

Hapa mbali na matatizo ya ukosefu wa fedha kama wabongo wengine lakini kwa hayo tunakula maisha

Karibu Lakini ukiingia kichwa kichwa utayapata ya...........

Watu Nyegera
 
senene 2.jpgsenene.jpg

karibu
 
mie naulizia tu katerero lile gulio letu bd lipooo?
 
Jamani huku Bukoba raha kweli kweli
Hivi sasa wale wadudu maarufu jamii ya panzi yahani senene ni wa kumwaga hapa,

Pia Mgao wa Umeme tunausikia kwenye vyombo vya Habari sisi tunatumia umeme kutoka Uganda

Hapa mbali na matatizo ya ukosefu wa fedha kama wabongo wengine lakini kwa hayo tunakula maisha

Karibu Lakini ukiingia kichwa kichwa utayapata ya...........

Watu Nyegera

Mkuu.kweli kabisa Bukoba kuna raha kibao, hasa madhari nzuri ya ziwa victoria , vyakula safi km ndizi, samaki nk.. zaidi Gulio la katerero ni kubwa sana tena lenye kila aina za bidha duh kweli Bukoba raha sanaaaa....Nyegera waitu.
 
Jamani huku Bukoba raha kweli kweli
Hivi sasa wale wadudu maarufu jamii ya panzi yahani senene ni wa kumwaga hapa,

Pia Mgao wa Umeme tunausikia kwenye vyombo vya Habari sisi tunatumia umeme kutoka Uganda

Hapa mbali na matatizo ya ukosefu wa fedha kama wabongo wengine lakini kwa hayo tunakula maisha

Karibu Lakini ukiingia kichwa kichwa utayapata ya...........

Watu Nyegera

Oh I wish I was there lakini sasa niko huku kwenye baridi.... bukoba kuna raha bwana, nimetembea nchi nyingi dunia nzima lakini
Sijaona kuzuri kama bukoba, kuanzia hali ya hewa, matoke, senene, obushwa waitu Bukoba nenura muno!!!!
 
Kasinge no busenene.. mbenu otutumile kake waitu:A S crown-1:
 
mwenyewe leo nimedaka kadhaa jirani na hapa home. Asikwambie mtu hata kuwadaka nako raha hasa majanini a.k.a kwenja na pia kwenye mahindi kati
 
Oh I wish I was there lakini sasa niko huku kwenye baridi.... bukoba kuna raha bwana, nimetembea nchi nyingi dunia nzima lakini
Sijaona kuzuri kama bukoba, kuanzia hali ya hewa, matoke, senene, obushwa waitu Bukoba nenura muno!!!!
Kasinge waitu! No any other beautiful place like this!
 
Byabato ontwekele otusenene waitu embeo yanyitilayo Bulaya. Zitanisaidia kusukuma wisiki
 
Niliambiwa bei yake ni balaa kwa mtz wa kawaida kununua, ni kweli?
 
nkyonkai waboa,akabaraka kawe kanyeba?nomanyabilebi bukoba akainduka muno,ebitoke bikawa nengemu zikafa.
 
Nka mwasima Bk yoka!isii aandiiii kara... kanono,muleba?????? aahandiiiiiii😛arty:
 
Back
Top Bottom