Wastani wa wasichana 100 hukeketwa kila siku-Manispaa ya tarime

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,315
1,225
Imefahamika kwamba katika manispaa ya tarime tena tarime mjni wastani wa wasichana 100 hukeketwa kila siku,huku vyombo vya dola vikilikalia kimya suala hilo

Kumbuka kukeketwa sio kosa,kosa ni anayehamasisha kukeketwa na mkeketaji hawa ndo watuhumiwa
 
mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,315
1,225
who told you they are happy!.au wewe ni mmoja wa keketaji tukutafute
 
kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
1,250
Imefahamika kwamba katika manispaa ya tarime tena tarime mjni wastani wa wasichana 100 hukeketwa kila siku,huku vyombo vya dola vikilikalia kimya suala hilo

Kumbuka kukeketwa sio kosa,kosa ni anayehamasisha kukeketwa na mkeketaji hawa ndo watuhumiwa

not tru, and never will be
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,528
2,000
Imefahamika kwamba katika manispaa ya tarime tena tarime mjni wastani wa wasichana 100 hukeketwa kila siku,huku vyombo vya dola vikilikalia kimya suala hilo

Kumbuka kukeketwa sio kosa,kosa ni anayehamasisha kukeketwa na mkeketaji hawa ndo watuhumiwa

tarime?, mbali kote huko?. Hata pale jijini d-a-r e-s s-a-l-a-a-m (kivule,nyantira,kitunda) watu wanajikeketea vibinti vyao kama kawa sembuse huko t-a-r-i-m-e miles away from the state. Swali langu ni je, kama kila siku wana fyeka vidude 100 kuna wasichana wangapi katika wilaya hiyo?.
 
NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,510
1,195
heshimuni mila za watu! After all, they are happy for their tradition

Not real, wawangoje wakikua waamue wenyewe,
kwanini wawakekete wakiwa wadogo?
Nadhani si idhaa yao wanalazimishwa.

Jamani hawa mangaliba bado wapo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom