Kwa nini kila mara Disco Toto zinaua?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
WanaJF
Tumepokea kwa masikitiko makubwa msiba wa watoto wetu waliokufa hivi majuzi baada ya umeme kukatwa ghafla. Mungu azilaze roho za wapendwa MAHALI PEMA PEPONI - aMINA
Kama sikosei hii siyo mara ya kwanza kutoke kwa madahara haya. Kumekuwepo na historia ya janga kama hili kwa watoto wetu kila kipindi cha sikukuu.
Je ni kwa nini na tuchukue hatua gani kudhibiti hali hii?
 
halafu mbona disco toto haziui siku za sikukuu za kikristo zinaua sikukuu za kiislam tuu,iddd nininii ,idd elifitri,iddd maulidi nakadahlika sijawahi sikia XMAS au PASAKA ,disco toto limeua au JK anatoa kafara nini?waislam kuweni makini na JK
 
Mimi nadhani its high time serikali i ban hizi disco toto......kwa sababu nikikumbuka ya Tabora,na mwaka huu huko luxury pub temeke, hakuna sababu ya kuendesha the so called disco toto kama hatuwezi kwuahakikishia usalama wao

Yafungwe hadi tutakapokuwa na kumbi zenye kueleweka
 
Hivi disco toto huwa zinapigwa wakati wa sikukuu za kiislamu Tu.......??? Maana sijawahi kusikia disco toto limeuwa kwenye sikukuu za kikristu.............!!!
 
Back
Top Bottom