Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Usiku wa kuamkia jana(yaani juzi) ofisi za Global Publishers zilivamiwa! Mara baada ya uvamizi huo walimteka mlinzi na kumfunga kamba kisha kuondoka naye na kwenda kumtupa maeneo ya kurasini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kile kijiwe cha mabishoo na watoto wa vigogo kimefia wapi? Naona wanachama wengi wa kile kijiwe wamehamia hapa. Pumba za walizokuwa wanaandika kule wameziacha siku hizi. Labda wengi wameshakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwezi uliopita tuliambiwa vyandarua vitagawiwa bure kwa watoto wote wenye umri wa mpaka miaka mitano na zoezi hili lingeanzia mkoani Dar.Kumekuwa na malalamiko mengi magazetini na kwenye TV maeneo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
From MARTHA MTANGOO in Dodoma, 9th July 2010 @ 12:00, Daily News FIFTEEN people died on the spot and 48 were severely injured when a lorry heading to the auction market overturned at Mnenia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaCCM na Wapenzi wa CCM nchini Finland wanatarajia kufungua tawi la kwanza nchini Finland katika mji mkuu wa nchi hiyo Helsinki. Wananchama, Wapenzi na Washabiki wa CCM wote katika Finland na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
khaa umependedhaaaaaaaa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa Nimesoma kwenye Gazeti moja liitwalo Malengo Yetu la kanda ya ziwa juu ya makala moja ya uchunguzi inayobanisha chanzo cha mimba za utotoni katika mkoa huo. Nimeipenda makala ile LAKINI...
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Askari wa kikosi cha ffu mkoani iringa .pc mashauri, amejiua kwa kujipiga risasi, akiwa lindoni ofisi ya mkuu wa mkoa.kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SIKU chache baada ya kutokea matukio mawili ya askari polisi, WP Susana na aliyekuwa mkufunzi wa Chuo cha Polisi Dar es Salaam, Konstebo Noel Jenga (33), kujiua kwa kujipiga risasi, imebainika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania`s mining boom: What is behind the scenes? By Correspondent 9th July 2010 The disproportional little contribution of the mining boom to Tanzania's economic growth...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikuwa naipitia website ya tanapa, nimekutana na viwango vya gharama za mwaka 2008, mwezi wa juni. Jamani hii ni aibu, tumeshindwa ku update website kwa kipindi chote hicho. Tunaomba webmaster...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Join Date Fri Mar 2006 Location Kijijini Posts 20,003 Thanks : 12,045 Thanked 7,086 Times in 2,102 Posts Kupitia post zako tumeweza kujifunza mambo mengi sana yanayoendelea chini ya jua umekuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
The countdown begins; there are certain newspaper columnist that make you run to newstands during their days of publication to grab their newspaper(s), I mean columns of certain newspapers you...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu, Mimi nina kero yangu ambayo sijui wenzangu munaionaje. Hawa wamarekani sikuhizi wamezidi walianza kwenye malaria, wakaja kwenye hiv and then uzazi wampango(family planning) utasikia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wednesday, 07 July 2010 21:07 Gazeti la mwananchi. Geofrey Nyang'oro ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo , amewaasa viongozi wa kanisa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini zimeahidi kukinyima kura Chama cha Mapinduzi (CCM), kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyia mwezi Oktoba mwaka huu kwa lengo la kukishikisha adabu kwa madai kwamba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Matapeli 400 wa nyumba wabainika Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dodoma; Tarehe: 6th July 2010 JUMLA ya wapangaji 376 wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), wamebainika kupangisha nyumba kwa wasio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia wimbo huu ni kijembe kwa mkuu wa kisiwa cha marashi ya karafuu, na serikali ya visiwa hivyo umepiga marufu redio za visiwani kuupiga wimbo huu. Lakini kwa sababu kudhibiti teknolojia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimehudhuria mikutano/sherehe nyingi sana za watanzania walioko nje ya nchi - UK, Canada, Japan, na US. Mengi sana mazuri hutokea ila pia mabaya huwa hayajifichi (muulize Nyani Ngabu akuambie...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mussa Juma, Dodoma Rais Jakaya Kikwete MRADI wa Utunzwaji wa Kumbukumbu za Usajili wa Hati za Miliki za Kimila kwa mfumo wa kompyuta umemwingiza tena Rais Jakaya Kikwete katika mtego wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…