Website ya TANAPA inatia aibu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,876
155,842
Nilikuwa naipitia website ya tanapa,
nimekutana na viwango vya gharama za mwaka 2008, mwezi wa juni.
Jamani hii ni aibu, tumeshindwa ku update website kwa kipindi chote hicho.
Tunaomba webmaster wao ajitahidi atleast kila mwezi awe na update mtandao huo ambao wageni tunaotutembelea wanautegemea sana kwa taarifa za kila siku.
 
nilikuwa naipitia website ya tanapa,
nimekutana na viwango vya gharama za mwaka 2008, mwezi wa juni.
.

tanapa ndiyo nini????!!!!! Au unamaanisha lile genge la maharamia wauza wanyama na maliasili zetu?????
 
Hawajaweka hata viwango vya ada vya kuingia Mkomazi ama Kitulo. Sijui kwenye hifadhi hizo wateja wanaingia bure?
 
nilichefuka roho zaidi wakati tunafuatilia suala la makuyuni musoma road kupitita serengeti nikaona ngoja niingie website ya tanapa ili nisome environmental impact assessment report ( EIA ) ili tuweze kupata kinagaubaga na kujibu hoja za wakenya ambao washafungua hadi facebook page kupinga iyo barabara nilikasirika kukuta achilia mbali EIA report kuan hamna hata news ya ilo suala halipo! shida izi taasisi za serikali ni ajira za kujuana nasikia hapo tanapa hamna ajira kama humjui mtu, sasa unategemea nini, kuna vijana wengi wa tanzania wamesoma IT na hawana kazi lakini ndio ivyo tena nani anakujua! sasa ishu muhimu kama EIA report ndani ya hifadhi haziwekwi kwenye mtandao unategemea nini? hata environmental management plan hamna! jamani tunaenda wapi?
 
Suala la Barabara iliyopendekezwa kujengwa Mto wa Mbu hadi Mugumu kupitia Loliondo na Serengeti ilitakiwa TANAPA wawe wasemaje wakuu kwa vile inaingilia mapito ya nyumbu. Hata hivyo, wamekaa kimya kama vile hawahusikia kana kwamba wanasemewa na mashirika ya nje kama Frankfurt Zoological Society na African Wildlife Foundation ya Washington.
 
Back
Top Bottom