Hongera sana Mzee mwanakijiji kwa kufikisha post 20,000

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Join Date Fri Mar 2006
Location Kijijini
Posts 20,003
Thanks : 12,045
Thanked 7,086 Times in 2,102 Posts

Kupitia post zako tumeweza kujifunza mambo mengi sana yanayoendelea chini ya jua umekuwa mchango mkubwa hapa JF
1. Unajitahidi sana kuelemisha watu jinsi siasa za nchi hii zinavyokwenda
2. Kupitia hadithi na mashairi yako tumejifunza na kupata vitu muhimu na mafunzo pia ..
3.
4.
5.
Mchango wako mkubwa bado unahitajika
Hongera sana Mzee wetu
 
Umejuaje kama ni mzee?:closed_2:

Hongera meku mwanagjiji!!
 
Hongera Mkuu.
Kufikisha mabandiko zaidi ya 20,000 ndani ya miaka 4 ( wastani wa mabandiko 5000 kwa mwaka) tena yenye mantiki siyo kazi ndogo.Wengine hatujaweza hata kufikisha mabandiko 4000 ndani ya miaka 2! Inataka moyo wa kujitoa kwelikweli.
Tunakutakia afya njema uweze kuendelea kuelimisha na kuburudisha.
LONG LIVE MMKJJ!!
 
hehehehe!
hongera bwana mkubwa

ningependa kujua tafsiri ya MM kwenye majina yako
 
Hongera sana Mwanakijiji... your presence in JF is not only important, its VITAL

DN
 
Hongera sana M.M.M kinachofurahisha zaidi post zako zimeleta faida kubwa sana ktk matumizi ya lugha (tunzi za mashairi, hadithin nahau, misemo nk), uchunguzu na uchambuzi pia kutokata tamaa ilipotokea unavunjwa moyo. bravo mkuu, Taifa na jamii yetu inakuhitaji sana.
 
Aisee! Mwanakijiji amefikisha post ya 20,003!!
Ni kazi ngumu na nzuri sana. Big up, keep it up kikongwe.
 
Hongera mkuu. Nikifikiria nina post buku 2 kasoro nachoka. Bado nasubiri riwaya ya mikononi mwa kamanda
 
Hongera Mkuu MM. Kila nisomapo maandiko yako unanikumbusha enzi za kupigania uhuru wa taifa letu
 
Natamani niwashukuru mmoja mmoja, FL1 thank you kwa kukumbuka maana hata nilishasahau na samahani sikuona hii hadi hivi sasa; WoS ur the best in everything!, Nemesis, De Novo, Aspirin, Mokoyo na Mpita Njia, thanks for the compliments, I'm flattered, Kingi na Ndibalema thanks for the support! Na wengine ambao natamani ningewataja kwa majina mmoja mmoja ambao through the years mmekuwa mstari wa mbele kuniunga mkono, kunisahihisha, kunipinga, kunielekeza na wakati mwingine kunifanya kituko kwa raha zenu! All in good fun! Thanks a million.

Nawashukuru sana ndugu zangu kwa kunitia moyo, safari bado ni ndefu, giza linazidi kuingia na wachache wamekata tamaa njiani. Katika yote yaliyopita yapo yaliyowakera watu na kuwaudhi wengine, yapo ya majonzi na yenye machozi na yapo yaliyotupa raha na furaha. Katika yote sina la kujivunia hata moja wala ubora wowote zaidi ya mtu mwingine. Na kwa hayo ninamrudishia Utukufu wote Mungu ambaye kwake nimeitwa, naenda na nitamrudia.

Na iandikwe: "Hapa amelala aliyeipenda nchi yake upeo"..

Yote kwa Utukufu Mkuu wa Mungu - Ad Majorem Dei Gloriam!

MMM
 
Dah hongera sana Mkuu.........wewe ni hazina kubwa kwa Taifa
 
Hongera sana Mzee Mwanakijiji.... Mungu azidi kukupa "Hekima na Busara"
 
Asanteni Ogah, Luteni, Shadow na Askofu... moto tulishauwasha hauzimwi tena... katika kucelebrate this milestone.. tunatoka na ripoti moja nzuri ya Hali ya Ulinzi wetu wa Anga kufuatia kuanguka kwa ndege ya mafunzo wiki iliyopita.... Stay tuned later today
 
Chereko MMM! Chereko!
It's not that milestone number that FL1 has mentioned that has impressed the like of us. It's the quality of your stuff (be it pleasing or irrirating).
For one, I like your guts. I will single out the CCJ affair in this forum. The debate pit you against the whole entire world but you could not (and I dont think you have been) be swayed. That's a fighter's spirit. My fighter. Kudos!
 
Asanteni Ogah, Luteni, Shadow na Askofu... moto tulishauwasha hauzimwi tena... katika kucelebrate this milestone.. tunatoka na ripoti moja nzuri ya Hali ya Ulinzi wetu wa Anga kufuatia kuanguka kwa ndege ya mafunzo wiki iliyopita.... Stay tuned later today

Hongera sana mzee kwa hili ingawa limenipita kidogo...where is the report now?
 
Back
Top Bottom