Kila kitu kwahisani ya Marekani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila kitu kwahisani ya Marekani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PAPAA ZM, Jul 7, 2010.

 1. P

  PAPAA ZM Member

  #1
  Jul 7, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu,

  Mimi nina kero yangu ambayo sijui wenzangu munaionaje. Hawa wamarekani sikuhizi wamezidi walianza kwenye malaria, wakaja kwenye hiv and then uzazi wampango(family planning) utasikia tu "kwahisani ya marekani" sasa wamehamia kwenye ndoa zetu, eti wanasema tuvunje ukimya na mayenje wao halafu mwisho wanamalizia kuwa lile tangazolimeletwa kwa hisani ya marekani kwanini isiwe ya wachina. Jamani hawa wamarekani watafadhili mpaka makalio yetu!
   
 2. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Alafu masheikh wanadai kadhi,its not easy
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  who is mayenje?

  hebu tuwekeeni link ya hayo matangazo kama yapo u-tube .....
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Sasa kwa nini na wewe usifadhili ukasema "kwa hisani ya Papaa ZM" au jina unalotaka?

  Tatizo lako ni Wamarekani wanavyofadhili au wanachofadhili ?
   
 5. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Naomba nisicomment chochote hapa Kwa hisani ya watu wa Marekani.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni chuki au kuna jingine?
   
 7. American lady

  American lady Member

  #7
  Jul 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0  Hakuna shida kama serikali inapenda kusaidiwa mpk makalio Marekani fanyeni mambo.Kila kitu si tanzania inataka mteremko??? Wamarekani ni macreative na macritical thinker ndiyo maana sasa kama serikali ya kibongo ya kugushi vyeti acha itafuniwe Bwana. Hahahahahahahahahaha!
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ukifadhiliwa sana, utapangiwa mpaka jinsi ya kuishi na mkeo ndani ya nyumba.
   
 9. M

  Magezi JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kama huna uwezo wa kukataa misaada basi usilalamike kwa sababu mtoa msaada anasaidia kile anachoona kinafaa kusaidiwa na anahakikisha wewe unaendelea kumtegemea (kama huna akili).
   
 10. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Bandiko hili limewekwa hapa na PAPAA ZM - Kwa hisani ya Walipa Kodi wa Marekani kwa kushirikiana na JF
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Jul 8, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ndio maana hatutaki hata OIC "tusijeolewa" pia na Waarabu!
   
 12. minda

  minda JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  sasa kama fedha za wamarekani zimewezesha matangazo husika, ubavu wa kusema wamechangia wachina tutapata wapi? marekani hoyeeee!:usa2:
   
 13. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa hisani ya marekani
   
 14. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #14
  Jul 8, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mkuu Matangazo kama hayo ni yale yaliyotokana na taasissi za kijamii zilizopate fedha toka mashirika ya maendeleo ya serikali ya Marekani kama USAID, CDC na mangine. Hayo ni masharti ya kimkataba kuwa kila tangazo titakalotolewa lazima kuwepo na hicho Kibwagizo. Kama Hamtaki basi na fedha yao msiombe. Mlotengeneza tangazo mradi wa Champion tunaomba mtujuze. Naomba kuwasilisha
   
 15. bona

  bona JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Malaria haikubaliki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwa hisani ya watu wa marekani.:usa:
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nasikia chuki zimekuzeesha kijana! ah ah ah Ah ah ah ah! Umri huo unafikiria kuolewa... Duh! Pole.
   
 18. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #18
  Jul 8, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sijasema kuolewa ila nimeandika "tusijeolewa" pia na Waarabu in exchange na "misaada!" Na huo umri unaodai ni upi au umeamua kujifurahisha ndugu!
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Muolewe wangapi, wewe na dadako au...? Mbona swala la kuolewa unalipenda... vipi kijana!?
   
Loading...