nahodha

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
khaa umependedhaaaaaaaa
8E9U0500.jpg
 
Nahodha amewekwa pale kama boya tu; wameona wakiwaweka wawili Bilal na Shein na halafu wakafanya mambo yao na Shein akapitishwa basi itakuwadhahili kuwa wamemfanyizia Bilal ambaendio kipenzi cha wazenj!! Nawataarifu wabara kuwa ikitokea kuwa Bilal ametoswa tena mara hii mjue wazi wabara mtajua watu wa zenj ni wa aina gani!
 
CCM si ya Bara au visiwani ni ya Tanzania, hivyo ina haki na wajibu wa kumsimamisha mgombea wanaeona anafaa chama. Kama Bilal ni kipenzi cha wazenji akagombee kupitia upinzani maana kura za mwisho zinapigwa na wazenj bila kujali ni wa chama gani. Mimi leo naomba Bilal atoswe ili tuwajue wazenj ni wa aina gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom