Diana-DaboDiff
JF-Expert Member
- Jul 13, 2009
- 376
- 19
Mwezi uliopita tuliambiwa vyandarua vitagawiwa bure kwa watoto wote wenye umri wa mpaka miaka mitano na zoezi hili lingeanzia mkoani Dar.Kumekuwa na malalamiko mengi magazetini na kwenye TV maeneo mengi kutogawiwa na sehemu zingine vichache sana kugawiwa.Ninapoishi hamna aliepata na baada ya kuuliza kina mama wengi nao maeneo yao hawajagawiwa au wachache sana kupata.Hivi kuna mtu hapa anaejua idadi ya vyandarua viliokusudiwa kugawiwa mkoani Dar?
Kuna kesi kama mbili za wenyeviti wa mitaa waliokutwa na vyandarua wakiviuza kwa wenye maduka.
Kuna kesi kama mbili za wenyeviti wa mitaa waliokutwa na vyandarua wakiviuza kwa wenye maduka.