Askari mtanzania ajiua (jana)

Askari mtanzania ajiua (jana)

Kamaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
563
Reaction score
33
Askari wa kikosi cha ffu mkoani iringa .pc mashauri, amejiua kwa kujipiga risasi, akiwa lindoni ofisi ya mkuu wa mkoa.kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
 
heading imeniacha hoi......askari mtanzania?!
 
Sijui nini maana ya mapenzi hebu tuma sehemu watu wajaribu kulijadili tuone kama kunahaja ya mtu kujiiuwa kwa sababu ya mapenzi
 
heading imeniacha hoi......askari mtanzania?!

Hata mie nilifikiri ni hawa jamaa tuliowatuma huko nje................nadhani alikuwa na haraka ya kupost!

Msaidie jamani modes watu wakaichaingie kule
 
Askari wa kikosi cha ffu mkoani iringa .pc mashauri, amejiua kwa kujipiga risasi, akiwa lindoni ofisi ya mkuu wa mkoa.kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

wewe ni mganda, mkenya au?
 
Back
Top Bottom