Watu wanaohishi kwenye chumba za kupanga hawanabudi kuanzusha chama ambacho wanaweza kukitumia kupasa sauti zao hususani za kupambana na wenyenyumba wanapelekesha kila kukicha: Yaani wenye Nyumba...
Jamani naomba kuuliza nimejaribu kuchunguza avatar za akina dada wetu humu JF nyingi zina sura za mastar hasa wa kike au picha zinazoonyesha wazi sehemu za maungo ya siri, mfano (not offensive)...
Professor Michael Sandel presents a lecture from his Harvard course in Political Philosophy. He explores the morality of murder and asks if there can ever be a case for killing.
what...
Ni swali ambalo huwa najiuliza ni nani anayewajibika kukataza au kuruhusu mifugo kwenye Makazi ya watu, nikiwa mkazi wa eneo ambalo limetengwa na Serikali kwa ajili ya makazi ya watu, kumekuwepo...
Hili si onyo la kwanza ila msisitizo.
(1) Ni marufuku kugeuza au kupotosha mtiririko wa thread na kugeuza kuwa chumba cha kusalimiana au kupiga soga(chat room) sisizohusiana na hoja ya thread...
kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nafuatilia siasa za Tanzania, itimisho nililofikia ni kuwa Mh. Kikwete anaofu ya waziwazi na Dr.slaa....ninachojiuliza ni kwanini ilihali yeye ndo mkuu wa hii...
JF members!
Naomba kujua hizi tume
1-nini kazi zake?
2-zinafanya kazi kwa ajili ya akina nani?
3-wanaoshughulika wanalipwa?
4-ripoti yao anakabidhiwa nani?
5-ili zifanyiwe kazi...mbona...
Wadau kama vipi tuliangalie hili hapa
wanafunzi wa vyuo wana lalamika kuwa
5000 kwa siku wanayopewa na heslb ni kidogo
wewe unatazama vipi hii na maisha yalivyo hivi sasa bongo?
Je inatosha?
Kati ya Kikwete na Hosea ni yupi anayetuchezea akili?
Hosea anaona rais hataki mafisadi papa waguswe.
Kikwete anaonyesha hapewi taarifa za wanaohujumu uchumi hata pale anapokuwa na mashaka(mfano...
Jamani naomba msaada wenu:
Ni week moja sasa imepita, ninashindwa kufungua account yangu ya yahoo.. Nasumbuka kweli,maana ni account pekee yenye details za mhimu sana kwangu..
Nifanyaje...
Ukitembea Tanzania vijijini utakuta huko kuna misikiti na makanisa ambayo wanavijiji huabudu Mungu wao. Misikiti na makanisa hayo yaliyopo vijijini ni yale ambayo yamekuwepo siku nyingi...
Daily mail.co.uk
By Steve Doughty
Last updated at 6:11 PM on 30th January 2011
An immigration officer tried to rid himself of his wife by adding her name to a list of terrorist suspects.
He...
wapendwa wana jamii,hebu pata picha wewe si Mtanzania kisha ukasikia kuwa kuna sehemu kuna watu wanachuna ngozi!! kisha baaada ya muda ukasikia hukohuko wanaua vikongwe!! tena mara ukasikia kuna...
Nimefanya uchunguzi kitambo sasa kuhusu style ya uendeshaji wa madereva wa Kike hapa Dar. Nimegundua yafuatayo;
1) Hawako relaxed wanapoendesha magari, wapo tense;
2) Huvuta kiti cha dereva...
WanaJF longtime hizo 80's-90's Wadau walikuwa wanakwenda kujivinjari sehemu ambazo kitambo hicho ndo ilikuwa kunawika vibaya sana; watu wa kitambo hicho kwa sasa maarufu kama old school. Baadhi ya...
Jamaa wenzangu kuna kitu napenda niulize....jana ktk sherehe za ccm pale dodoma mh.mkwere alikabidhiwa zawadi na mmoja wa mkuu wa wilaya ya kule ,sasa alipewa mifugo miiingi,ndege,mazao na hata...