Ni yupi aliye mnafiki?

Ni yupi aliye mnafiki?

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,067
Reaction score
2,229
Kati ya Kikwete na Hosea ni yupi anayetuchezea akili?
Hosea anaona rais hataki mafisadi papa waguswe.
Kikwete anaonyesha hapewi taarifa za wanaohujumu uchumi hata pale anapokuwa na mashaka(mfano richmond na mrithi wake dowans)

sijui ni yupi anayesema kweli?
 
Mkwere aache aache utani haongei na watoto wadogo:twitch:!!!!
 
Hosea na whoever aliye chini ya Jk itifaki inawameza...Kikwete ndiye haswa kiini cha matatizo yote nchini kwa utawala wake wa remote control...
kuna watu wengi tu ndani ya CCM wenye uwezo wa kupeleka vyema jahazi la Chama pwani, tatizo si wana mtandao!...
 
Kati ya Kikwete na Hosea ni yupi anayetuchezea akili?
Hosea anaona rais hataki mafisadi papa waguswe.
Kikwete anaonyesha hapewi taarifa za wanaohujumu uchumi hata pale anapokuwa na mashaka(mfano richmond na mrithi wake dowans)

sijui ni yupi anayesema kweli?

mnafiki ni kikwete kwani huyo mwingine analinda itumbua chake kisiingie mchanga.
 
na washabiki wa chama chao pia
 
hamna hata mmoja aliye sahii wote sawa 2
 
Back
Top Bottom