Tume zikoje ?

Tume zikoje ?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,500
JF members!
Naomba kujua hizi tume
1-nini kazi zake?
2-zinafanya kazi kwa ajili ya akina nani?
3-wanaoshughulika wanalipwa?
4-ripoti yao anakabidhiwa nani?
5-ili zifanyiwe kazi...mbona hazifuatwi?

Hii nimetaja nikikumbuka tume ya mh jaji nyalali.
Mwakiyembe n.k.

Naombeni tuchangie pia nisaidiwe kujua hayo .
 
Back
Top Bottom