Avatar za akina dada

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Jamani naomba kuuliza nimejaribu kuchunguza avatar za akina dada wetu humu JF nyingi zina sura za mastar hasa wa kike au picha zinazoonyesha wazi sehemu za maungo ya siri, mfano (not offensive) kuna avatar moja inaonyesha mwanamke akivua nguo yake ya siri. Kwa upande wangu si vibaya lakini ninachojiuliza kwanini ni wengi kiasi hiki au huwa zina malengo ambayo mimi siyajui. Hii ni tofauti na avatar za wanaume kama ya Quinine, MKJJ, muhogomchungu, Masanilo, hmehod nk. Kwa mwenye sababu yake pls naomba nisaidiwe. Natanguliza shukrani.
 
Na unajuaje kama ni wadada wenye hizo avatar, au hata hao wanaume, unawajuaje?
 
Problem watu humu JF wapo under cover hata hao wengine uliowataja wanatumia avatar za kucover sura zao
 
......aiseeeeee huyo aliyoweka avatar inayoonyesha wazi sehemu za maungo ya siri ana lake jambo.
 
Jamani naomba kuuliza nimejaribu kuchunguza avatar za akina dada wetu humu JF nyingi zina sura za mastar hasa wa kike au picha zinazoonyesha wazi sehemu za maungo ya siri, mfano (not offensive) kuna avatar moja inaonyesha mwanamke akivua nguo yake ya siri. Kwa upande wangu si vibaya lakini ninachojiuliza kwanini ni wengi kiasi hiki au huwa zina malengo ambayo mimi siyajui. Hii ni tofauti na avatar za wanaume kama ya Quinine, MKJJ, muhogomchungu, Masanilo, hmehod nk. Kwa mwenye sababu yake pls naomba nisaidiwe. Natanguliza shukrani.

Una uhakika na hao wanaoweka za hivyo ni akina dada? wanaweza kuwa ni wanaume pia.
 
Jibu nafikiri ni vyovyote utakavyoelewa hizo avatar.
Mi nikiweka avatar tu na ban inanifata.
 
Jamani kuna Avatar moja yaani imekaa kaa kimalaya malaya hata naona aibu kusoma post za huyo mwenye hiyo Avatar mbele za watu kwani nitadhaniwa naangalia pornography! Mi namuomba chonde chonde aibadilishe on her own volition ili sisi wengine tulio public figure tusione haya tusomapo posts zake hapa JF. Naomba kuiwasilisha hapa ili muone wenyewe!
2011-02-04_1722.png
 
mtoa mada mwenyewe avatar yake inafanya matusi,toa boriti kwenye jicho lako.......
 
Avatar ya mtoa mada.................Nasikia ma sailor ndo wanavyofanyaga wakiwa kazini otherwise chombo kitaenda mrama!
 
Back
Top Bottom