Naishukuru JamiiForums

Naishukuru JamiiForums

hsigira

Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
8
Reaction score
0
Binafsi naishukuru sana JamiiForums kwani inanifanya nipate habari nyingi na kujiona nimo katikati mwa marafiki.

Asanteni sana
 
Binafsi naishukuru sana jamii forum kwa inanifanya nipate habari nyingi na kujiona nimo ktkt mwa marafiki. Asanteni sana

Karibu sana mwanaJF, na huyo anaetambua uwepo wako ndio Maria Roza!!! 😛eace:
 
namimi avatar ndio hiyo karibu ujifunze mengi humu.
Hawana hiyana Mungu atawalipa zaidi na zaidi.
 
Karibuuuu ujumuike nasi, KILIMO KWANZA ndio mkakati wa awamu tuliyonayo baada ya shule za kata.
 
Hsigira nitakupa senksi ya kwanza leo ingawa nashawishika kusema kwamba wewe ni mchoyo.

Sishawishiki kwa sababu ya idadi ya post zako bali kujua kwamba unafaidi mawazo ya wana JF lakini hukuwahi kumshukuru hata mmoja. Kama huelewi namna ya kufanya basi na-withdraw lawama nilokupa kimakosa.

Join Date : Tue Nov 2010
Posts : 8
Thanks : 0Thanked : 0 Times in 0 Posts
 
Karibu sana jamvini, hapa kila kitu utapata!
 
Back
Top Bottom