PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 445
Watu wanaohishi kwenye chumba za kupanga hawanabudi kuanzusha chama ambacho wanaweza kukitumia kupasa sauti zao hususani za kupambana na wenyenyumba wanapelekesha kila kukicha: Yaani wenye Nyumba wengi wamekua na kusumba ya kuweka taratibu zingine ambazo kwa hakika inakuwa ni mzigo kwa wapangaji: mara kodi zinapandishwa kila anapojisikia, mashariti ya kuingia na kutoka ndani ya nyumba, na usumbufu mwingi ambao hakika ktkt swala za haki za binadamu alipaswi kufumbiwa macho.