@dj babu,utamu wa ngoma uingie ucheze... elfu 5 haitoshi ,unajua wot me nimesha-experience wakati nasoma pale udsm na nilikuwa naishi maisha ya kawaida ya kimaskini,ckia hesabu na mgawanyo wa pesa hyo...chakula-1000 (chai,maji)Mchana (1500)usiku(1500) then kuna hela ya chumba per day(300)nauli (500) then hapo bdo stationary photo copy itafika hadi elfu mbili au tatu kwa siku ,vp inatosha au vp?tafakari
hiyo mi fisadi pocket money za watoto wao wa primary ni zaidi ya 5000
sasa hao mafisadi ndio vijana walitakiwa waandamane na kuanza kuwatandika mawe sio mtu mpuuzi kama kibonde ageuke ajenda ya mgomo.
@babu,nimekumbuka kumbuka hapo sijaweka matatizo yanayoweza tokea kama ugonjwa na cost ya malipo ya dawa na vipimo bodi ya mikopo haijaweka kabisa ,so where wapate hela wakati many of them stil un-employed ...chukua hatua ktk hlo babu vp elfu 5 inatosha au?
Kwani hawakushauriwa? Au hawafahamu kupresent matatizo yao kama wasomi watarajiwa?kwa mimi ninavyodhani, kama serikali ingeliweka miundombinu sahihi kwa ajili ya wanafunzi, elfu 5 ingetosha, but wanafunzi hawajaekewa miundombinu sahihi. Pale udsm, 65 percent ya wanafunzi hawapati hostel, they hav to go rent houses off campus,, kulipa kodi ya chumba cha bei ya chini kabisa ni atleast 40000, bado maji, bado umeme, bado nauli, how do u think mwanafunzi ataishi..??? Although mgomo wenu wa ud ulikua mzuri, but mlipaswa kujipanga zaidi na sio kukurupuka tu na kusema mnataka kulipwa 10000:..wangeomba mambo kama kujengewaa hostel, kuboreshewa vitu kama maji na services nyingne ndani ya hostels n.k.
hiyo mi fisadi pocket money za watoto wao wa primary ni zaidi ya 5000