hivi ungekuwa sio Mtanzania, ungeweza sema nini juu ya Tanzania kwa haya?

Ntumami

Senior Member
Sep 3, 2010
127
23
wapendwa wana jamii,hebu pata picha wewe si Mtanzania kisha ukasikia kuwa kuna sehemu kuna watu wanachuna ngozi!! kisha baaada ya muda ukasikia hukohuko wanaua vikongwe!! tena mara ukasikia kuna watu wanaua albino!! mara tena unakuja kusikia vifo vya vichanga vingi navyo vikihushwa na imani potofu za ushirikina!! na hayo yote pia yakihusishwa na ushirikina??

hebu fikiri ungeiona vipi Tanzania, please tafakari na uone ni hatua ipi unaweza ichukua?


May God have Mercy on Tanzania
 
na ukasikia nchi hiyo hiyo mkuu wa nchi anaponda pesa kwa safari zisizo na tija kwa taifa lake na anatumia mapesa mengi yanayoweza kuboresha hospital na shule nyingi nchini mwake, anataka kumzawadia rafiki yake tsh 94bn kwa kuingiza kampuni feki, uteuzi wa nafasi za uongozi anazofanya hafanyi kwa merit bali kwa kujuana, urafiki etc.....
 
wapendwa wana jamii,hebu pata picha wewe si mtanzania kisha ukasikia kuwa kuna sehemu kuna watu wanachuna ngozi!! Kisha baaada ya muda ukasikia hukohuko wanaua vikongwe!! Tena mara ukasikia kuna watu wanaua albino!! Mara tena unakuja kusikia vifo vya vichanga vingi navyo vikihushwa na imani potofu za ushirikina!! Na hayo yote pia yakihusishwa na ushirikina??

Hebu fikiri ungeiona vipi tanzania, please tafakari na uone ni hatua ipi unaweza ichukua?


May god have mercy on tanzania

na ukasikia nchi hiyo hiyo mkuu wa nchi anaponda pesa kwa safari zisizo na tija kwa taifa lake na anatumia mapesa mengi yanayoweza kuboresha hospital na shule nyingi nchini mwake, anataka kumzawadia rafiki yake tsh 94bn kwa kuingiza kampuni feki, uteuzi wa nafasi za uongozi anazofanya hafanyi kwa merit bali kwa kujuana, urafiki etc.....


Mimi ningesema hilo taifa lina utindio wa ubongo!
 
Ni aibu sana....ila ushirikin mwingi ulikuwa kwaajili ya uchaguzi hasa ule wa maalbino.....
 
Mkuu wa Nchni pia analindwa na Yahya kwa ulinzi wa Giza!!!! Hivi kwanini Rais hakukana au Salva huwa anajitokeza kukana hili aliona lipo sawa halina hatari juu ya Mr. Presd
 
Na ukasikia mtoto wa rais ametoa kauli kali ya kukemea viongozi wa chama tawala kuwa ni wazembe, si wawajibikaji na wako kwa maslahi yao zaidi na habari hii ikawa ndo habari kuu kwenye vyombo vya habari.
 
Na ukasikia nchi maskini ya kutupwa inaizawadia BILLIONI 94,pesa tuliyokatwa kodi za aina mbalimbali mimi na wewe, kampuni ambayo hata postal adress yahapa kwetu Tanzania haina-soma The Guardian ya leo uone mambo yalivyoendeshwa ICC..............
 
Alimsikia jana kwenye hutuba yake eti tutapunguza dawa, madawati then tuwalipe hao Dowans.
 
Duh,mmesahau na mkasikia raisi wa kwanza toka kwa mkwere mwenye udaktari mara tano ,eti jamani tuna rais msomi ee.
 
Back
Top Bottom