Kwa nini Wanawake wapoedesha Magari wapo "tense" sana ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Wanawake wapoedesha Magari wapo "tense" sana ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kudadadeki, Feb 5, 2011.

 1. K

  Kudadadeki Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimefanya uchunguzi kitambo sasa kuhusu style ya uendeshaji wa madereva wa Kike hapa Dar. Nimegundua yafuatayo;

  1) Hawako relaxed wanapoendesha magari, wapo tense;

  2) Huvuta kiti cha dereva hadi matiti yanapokugusa usukani (steering);

  3) Hawana uwezo wa kupepesa macho kulia na kushoto kuangalia nini kinachoendelea pande hizo (siyo kuangalia kwenye sides mirrow, but kuangalia kwenye direction ya vioo and beyond);

  4) Macho huangaza mbele tu, yaani ukiwa pembeni mwa dereva wa kike unayemfahamu na ukataka kumsalimia "hatokuona" hata ufanye jitihada gani;

  5) Wanaendesha wakiwa "peku"- bila kuvaa viatu.

  Sasa Wakuu, ebu nisaidieni;

  1) Kwa nini wanakuwa tense ? Je, ni kwa sababu they are always worried wasije gonga gari zao za mikopo ?

  2) Au, wakati wote huwa wanafikiria " yaani Buzi langu likininyang'anya gari hii aliyo ninunulia lakini Card iko kwake ndo basi tena narudi kwenye daladala" ?

  3) Au, huwa tense kwa kufikiri majaliwa yao baada ya kupokea "Mshurubati Bin Nuru" (astakafurai) bila Condom toka kwa hao walio wanunulia magari hayo ?

  Nawasilisha kwa Watafiti wenzangu !!
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hiyo unayoita wako tense inawasaidia utagundua wanawake wengi hawapati ajali na hata wakipata wanakuwa wamegongwa wao,ni waangalifu sana wakiwa barabarani.Wanaume tunajiamini sana ndio maana tunasababisha ajali nyingi.
   
 3. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huo ni ukweli... :coffee:
   
 4. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa mmoja alimuambia dereva wa kike alipobabaika kupita kwenye barabara yenye utata na msongamano; " ona sasa mnavamia fani si zenu, kazi zenu kukalangiza vyakula nyumbani"
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hebu sikiliza matangazo ya magari ya used ''mmiliki mwanamke''....think kudadeki think.....l.o.l
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh hayo yoote ila hiyo ya tano kwa upande wangu ni kweli hahha hahha :coffee::coffee:
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wife wangu akiwa anaendesha. anavua viatu, so anakipiga pekupeku, atazima redio eti inamchanganya, kiti atakisogeza mbele karibu na sterling kali zaidi anawachukia sana wenye pikipiki wakikatiza kulia kushoto wanamchanganya mbayaaaaa.
   
 8. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hao wanaoendesha hivyo wameanza na gari za automatic moja kwa moja bila ya angalau kujifunza ile ya manual kidogo ambayo inakupa balance fulani.

  Kuhusu kuendesha peku peku ni kweli kwa vile viatu wanavyovaa wanawake vinakuwa na urefu wa aina aina. Vyengine ni flat na vyengine vina 2 inch, 4 inch au hata 6 inch heels siku hizi, kwa hivyo inakuwa shida kuweka balance ukiwa umevaa viatu virefu. Hii ni tofauti na wanaume ambao wao aidha ni mabuti au sandals.

  Mimi huwa naweka kanda mbili ndani ya gari, nikiingia basi huwa navaa kanda mbili na nikitoka navaa viatu vyangu.

  Ama vya kununuliwa gari, kwa kweli hapo umechemsha. Wengine ni wafanya kazi wenye fedha za kutosha kununua hata ma land cruiser na prado. Mfano, mimi ninazo gari mbili ambazo nimenunua kwa fedha zangu mwenyewe.
   
 9. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mawazo kama haya ndio yanadhihirisha udhaifu wa wanaume, unaacha kuwaza mkeo na familia yako, carreer yako na maendeleo yako kwa ujumla unawaza wanawake wanapoendesha magari, wanakula, wanachoweka kwenye handbag, kwa nini hawataki uchi, kwa nini wanajiacha uchi; all men eyes and brain on women. Pathetic.
   
 10. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35


  Nimekubali bi mkongwe
   
 11. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,095
  Likes Received: 4,044
  Trophy Points: 280
  ila ni wazuri wa kusababisha ajali pia maana kuendesha vizuri haimanishi ugongwe kugongwa pia kunamaanisha uzembe fulani ya jinsi unavyojiendesha barabarani
   
 12. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  such public displays of stupidity and narrow mindedness should be outlawed
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,095
  Likes Received: 4,044
  Trophy Points: 280
  ila ni wazuri wa kusababisha ajali pia maana kuendesha vizuri haimanishi ugongwe kugongwa pia kunamaanisha uzembe fulani ya jinsi unavyojiendesha barabarani
   
 14. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  it is more psychological. Uzima wa binadamu huanzia mwilini mwa mwanamke kwa kubeba mimba, na baadae huendelea kulea mtoto kwa karibu zaidi. Wanawake ni walezi wa uhai wa binadamu; wanaujali uhai na kuutunza. Ndo maana wanakuwa waangalifu sana kwa kila kitu chenye kuweza kuhatarisha uzima/ uhai. Kumbe hata anapoendesha gari anakuwa makini sana ili asije hatarisha maisha ya mtu kwa ajali. Wanakuwa very protective.
   
 15. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280

  Women have greater peripheral vision (wider view)
  than men. From a revolution perspective a woman
  eye is adapted to see a wider area without turning
  her head. That ability is important in watching over
  the young ones and making sure they are safe.

  On the other hand men have to turn their heads to
  have a greater side view. This the reason why men
  get caught checking on women's boobs. Women
  do check on men more than men do but they use
  there highly adaptive peripheral vision without getting
  caught.  To conclude... Women don't need to turn their heads
  while driving because they don't have too.


  ...
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Dah hapo kwenye "Mshurubati bin Nuru"
   
 17. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mada yako uliianza vizuri sana. Lakini huku mwisho umeharibu kabisaaa! Anyway acha nipite tu
   
 18. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I concur.....Spot On mate.....
   
 19. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Napenda uendeshaji wao kwani ni makini sana nawanakuwa na defensive driving yaani hata akiwa kwenye right way ukimwomba kama kuingia kwenye line yake au kuvuka wengi wanatoa site tofauti na midume pia hawana rough driving kama most men
   
 20. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mara nyingi wanaume wakitaka kuchomekea husubiri mpaka waone dereva mwanamke mwenye gari nzuri basi ndiyo hapo huwa wanachomekea. Eti wanasema mwanamke hapendi gari yake igongwe.

  Kugongwa mara nyingi kunatokana na uzembe wa kutaka kuchomekea au kufanya vurugu barabarani, vitu ambavyo ni wanawake wachache sana wanaweza kufanya.
   
Loading...