Je,mkwere ameongea ukweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,mkwere ameongea ukweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Feb 6, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamaa wenzangu kuna kitu napenda niulize....jana ktk sherehe za ccm pale dodoma mh.mkwere alikabidhiwa zawadi na mmoja wa mkuu wa wilaya ya kule ,sasa alipewa mifugo miiingi,ndege,mazao na hata cement mifuko mingi kweli hadi akatoa tabasamu. Alipoanza kuongea na wana-ccm akatoa kauli ambayo sikuelewa -alianza na shukrani kama kawa then akasema mzigo umekuwa mkubwa kuna ka-plot alipewa zawadi na anamiaka kama 6 hajakamaliza kukajenga ,eti jamani inawezekana kweli au?nawasilisha wanajf

  source-tbc tv station
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  i love tunisia and igypt............................
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Duh,we ni nouuuumaaa
   
Loading...