"kwanini kikwete anamwogopa sana Dr.Wilbrod Peter Slaa" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"kwanini kikwete anamwogopa sana Dr.Wilbrod Peter Slaa"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MDANGANYIKAJI, Feb 7, 2011.

 1. MDANGANYIKAJI

  MDANGANYIKAJI Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 25
  kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nafuatilia siasa za Tanzania, itimisho nililofikia ni kuwa Mh. Kikwete anaofu ya waziwazi na Dr.slaa....ninachojiuliza ni kwanini ilihali yeye ndo mkuu wa hii nchi?...naomba nirejee sababu zilizosababisha nifikie katika hitimisho hili...kwanza kikwete amevumisha uvumi wa kidini na zaidi akimutuhumu dr slaa as the initiotor akiwaacha wagombea wengine....pili rejea matusi aliyoyatoa mwandishi wa raisi pale dr slaa amemtuhumu kikwete kuwa ndo mumiliki wa DOWANS...Ukifuatilia hotuba ya kitwete katika maadhimisho ya miaka 34 ya uwepo wake ilikuwa na maneno mengi ambayo moja kwa moja yalikukuwa yanamgusa moja kwa moja dr slaa. suala la migomo ya wanafunzi limekuwa associated na ushawishi wa slaa....Je slaa ana siri nyingi ambazo kikwete anausika ambazo anaogopa kuwa wakati wowote slaa atamuhumbua? je kikwete anaogopa upeo na ujengaji hoja wa slaa ambao kwa wasomi wengi wanamkubari?...kikwete CHADEMA si slaa pekee..kumbuka kuwa pana kijana aitwae Tundu Lisu ambae ni zaidi ya akina slaa watano.....mtazame Mnyika, na wbunge takribani wote wa CHADEMA uwezi walinganisha kwa upeo na wabunge au viongozi wengi wa ccm like Makamba sidhani kama unaweza kuwa na wasiwasi wa slaa pekee....kwa nini umchukie mtu kama slaa ambae amekuw mkombozi wa wanyonge wengi ktk nchi hii? tafakari without this man who cld be awere of many skendos?.....
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  simple,..sababu kamzidi akili i.e slaa ni mtu makini na mwenye uwezo wa kujenga na kusimamia hoja in contrary jk anapenda usanii na utani kwenye hoja za msingi.
   
 3. n

  nyantella JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Una uhakika anamwogopa au hisia zako na amuogope kwa lipi? and kuogopwa si sifa njema maana unaweza kumuogopa mtu kwa mengi, ungesema anamheshimu that is another thing. lakini kama Dr. WS anaogopwa then ana kasoro!! mtu muungwana anaheshimika na sii kuogopwa kwa lolote lile.

  Na kwa taarifa yako Dr. WS tunayemfahamu hapendi hizi sifa za kijinga!!! He is a Statesman (if you know what that means!) na si cheap person wa kulambwa miguu kwa vijisifa vya kibwegebwege vya hapa JF! wanaopenda hizo ni kina FM mpatieni atafurahi saana!

  Halafu msiwape vichwa watu wengine ni upeo gani walio nao wabunge wa CDM unaozungumzia wanao washinda wengine? of course kuna some good MPs ndani ya CDM ila sii wote!!! na wengine ni wabishi tu na kuwa mbishi au kuongea kwa jazba hakuonyeshi upeo wala nini! in short acha watu tuamue wenyewe who is who! kuwa idolize wabunge wa CDM ni kuwa spoil na watajiona wako above watu wengine na ndio maana wanawadharau wapinzani wenzao na hiyo kama ndio unaitwa upeo sijui!
   
 4. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Post yako haina mashiko. Hata hivyo ni jambo lililo wazi kuwa Slaa IQ yake imempita mbali sana JK, si huyo tu, kwa sasa binafsi sioni kama kuna mtu anayefaa kuwa Rais zaid ya Dk Slaa. Ana upeo kama walivyokuwa akina Nyerere, Nkrumah, Sankara, Lumumba n.k. JK anajua hilo kwani si mgeni na Slaa, hata propaganda anazomzushia ni kujaribu kumzuia asiendelee na ushawishi kwa jamii.
   
 5. Muro

  Muro Senior Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Slaa ni mfilosofia aliyehitimu chuoni tena saikologia ya watu na amefanya kazi za kuongoza watu katika mema na maendeleo yasiyo ya kifisadi(padiri) kabla ya kurudisha kanzu na kukubaliwa rasmi na Vatican.vilevile CCM walimtosa alipotaka kugombea kwa tiketi ya CCM baadae akagombea kwa tiketi ya CHADEMA na kuchaguliwa na haohao wana CCM kuwa mbunge wao MZIMU HUU(HISTORIA) UNAWEZA KUJIRUDIA kuna kila sababu ya kumuogopa na mikakati yake ya kuchukua dola ipo wazi na ya kisayansi zaidi ya Mzee Makamba na JK au wana CCM wote pamoja na mimi.:A S thumbs_down:
   
Loading...