Mh,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.JM Kikwete, Naleta ombi langu kwako japo umechelea kufanya maamuzi juu ya viongozi hawa ambao umri wao wa kustaafu na bado wako...
Ba ndugu,
Tafadhali naomba anayefahamu nyumba ya wazee/old people hom hapa DSM ipo sehemu gani. Somebody wants to go and distribute some items there but we do not where can we find one.
Pse pse help.
Wizi wa Kagoda
YUSUF Manji, mfanyabiashara wa Dar es Salaam, ni miongoni mwa walionufaika na mabilioni ya shilingi ambayo yalikwapuliwa na kampuni ya kitapeli ya Kagoda Agriculture Limited...
Msichana mmoja wa nchini Uingereza amefariki dunia punde baada ya kupigwa busu kwa mara ya kwanza na mpenzi wake.
Jemma Benjamin msichana mwenye umri wa miaka 18 alikuwa kwenye matembezi na...
Kutakuwa na köngamano kuubwa, kujadili mustakabali wa kisiasa hapa nchini toka harakati za uhuru hadi sasa. Wahadhiri mbalimbi na masheikh maarufu watakuwepo. PIA ITAKUWA LIVE KUPITIA "RADIO...
Ni jambo la kawaida kwa jamii ya kizazi hiki kumzomea kiongozi anayetoa hoja ambazo hazina mshiko na kujaa pumba kwao.
Hivi karibuni kiongozi, na mshika bango la elimu aliipata homa ya...
Kuteuliwa kwa kamishna Mkuu NDG Ulungi kulitegemewa na Wengi na watumishi wanamwamini na wanampongeza rais Jk kwa uteuzi huo ulungi siyo fisadi na ni mtu wa kufuata sheria asiye na majungu.Hata...
Heshima yenu wanajamvi.
Naomba tafadhali mtu anayejua maneno ya wimbo wa
"Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge"
Sijui ulitungwa lini lakini ni wimbo unaojulikana sana. Nadhani ulitungwa na kikosi cha...
Health staff shortage a Sh500bn question Friday, 11 February 2011 22:59
By The Citizen Reporters
Dar es Salaam.
Tanzania urgently needs over Sh500 billion to fill the yawning personnel gap...
Jana tarehe 11 na leo tarehe 12 February 2011 wafanyakazi wa TANROADS, DSM Regional office wamepita kando kando ya barabara ya morogoro na kuweka alama za 'X' na 'BOMOA TNRD' kwenye nyumba, fence...
Habari members JF!
Nimetumiwa ujumbe(phone) na mdogo wangu wa kiume yupo arusha.
Unajua kwenye sim kuna Phonebook...amejaza watu wake muhimu na wazazi wetu wote ke/me.
Sasa kuana msg za ujumbe...
MKUU wa Kitengo cha Propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tambwe Hiza, amemshangaa aliyewahi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa kungangania madaraka.
Tambwe alitoa kauli hiyo jana...
As CNN newsmagazine Inside Africa was airing, I just happened to be thinking of my motherland and its political, social, and cultural issues, which are the segments that aired, but with prompt and...
Je unajua machukizo makuu matatu('the three most hated entities in Tanzania) kwa watanzania haswa kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kutokana na kuwa kikwazo kikubwa kwa watanzania kujipatia...
WanaJF,
Miaka ya 80-90 nilikuwa Morogoro Maarufu kama mji kasoro bahari, weekend kama hii haikuwa tabu na maisha ya mashaka kama sasa, wakati mwingine tukisia habari kuwa bwawa la kidatu limejaa...
Serikali, katika mazingira ya utata kiasi na kasi kubwa, iliamua kutoa uraia kwa waliokuwa wakimbizi wa Burundi, wengi wao waliokuwa wakiishi kwenye Makazi ya Katumba na Mishamo huko Mpanda...