Kongamano kuuubwa siku ya jumapili tar 13/2/11-MOROGORO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano kuuubwa siku ya jumapili tar 13/2/11-MOROGORO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kivia, Feb 11, 2011.

 1. K

  Kivia JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kutakuwa na köngamano kuubwa, kujadili mustakabali wa kisiasa hapa nchini toka harakati za uhuru hadi sasa. Wahadhiri mbalimbi na masheikh maarufu watakuwepo. PIA ITAKUWA LIVE KUPITIA "RADIO IMAAN" muda kuanzia saa tatu asubuhi.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Venue please!!
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,817
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  venue nadhani itakuwa ni kwenye viwanja vya shule fulani ya msingi mjini morogoro, nami nimeisikia taarifa hiyo juu ya kongamano.
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  ma sheikh?
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,094
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Je nao watatoa tamko kuhusu wakatoliki ?
   
 6. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,823
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  mh hapo wasijejekuanza kuishambulia CDM na wakatoliki maana ndo story kwao cku hiz:sick::sick::sick::sick:
   
 7. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,944
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  radio imaan?
   
 8. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,817
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Itarushwa live radio imaan saa tatu asbh.
   
 9. C

  Chimilemwiyega Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafuta taarifa za kutosha utujuze tafadhali maana sisi wanajamvi wa Morogoro tungependa kujua ili kwamba tupate kujihudhurisha kwenye eneo la tukio.
   
 10. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 1,877
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Habari zisizo nauhakika sipendi kusoma
   
Loading...