Urgent help needed - mahali zilipo/ilipo nyumba ya wazee DSM

Urgent help needed - mahali zilipo/ilipo nyumba ya wazee DSM

Tsidekenu

Senior Member
Joined
May 7, 2009
Posts
141
Reaction score
42
Ba ndugu,
Tafadhali naomba anayefahamu nyumba ya wazee/old people hom hapa DSM ipo sehemu gani. Somebody wants to go and distribute some items there but we do not where can we find one.
Pse pse help.
 
Hivi tuna nyumba za wazee bongo?Mi sijawahi kuona wala kusikia!Nadhani kila mtu analelewa na familia yake!Labda mjaribu ya watoto yatima!
 
Nungwi kigamboni kuna camp ya wasiojiweza majority ni wazee iko chini ya ustaw wa jamii,
 
ZIpo nyumba za kulelea wazee kule kigamboni. NUNGE-VIJIBWENI CHINI YA USTA WA jamii.
 
Back
Top Bottom