Lahaulaa! Msaada haraka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lahaulaa! Msaada haraka!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndevu mbili, Feb 9, 2011.

 1. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari members JF!
  Nimetumiwa ujumbe(phone) na mdogo wangu wa kiume yupo arusha.
  Unajua kwenye sim kuna Phonebook...amejaza watu wake muhimu na wazazi wetu wote ke/me.
  Sasa kuana msg za ujumbe wa matusi zinataja hadi maumbo ya kike ...sasa bahati mbaya akasahau kabla ya kumtumia mpz wake wa kike ameituma kwa wazazi wote ke na me.
  Sasa ananiomba ushauri nmsaidie afanyeje?
  Mimi sija,jibu nkaona nliwakilishe gumu haraka.
  Nao
  Waombeni mnisaidie dogo apate msaada.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Imetoka hiyo, sidhani kama kuna uwezekano wa kureverse the situation, atume another msg or apology to all offended.
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
  Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook

  Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae
   
 4. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Hahahahah....huu msaada umetulia sana...haahha kweli wewe ni great thinker on immergency.
   
 5. AIZAK

  AIZAK Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  why wait?
  The longer he stays without saying anything the bigger the damage.
  Namshauri awapiigie simu wazazi ili awaeleweshe kuwa the sms were not intended for them.
  Nakubali kuwa lazima kutakuwa na little damage lakini ni worse zaidi kama nae atakaa kimya bila kusema kitu.
  Tell him to call them now!
   
 6. c

  chelenje JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  nimeipenda hii,great!
   
 7. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ahsanteni members I call him asap!!
   
 8. l

  lusuadam Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  these things happens mara kwa mara. i think suggestion hii ni nzuri
   
 9. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa ushauri huu hamna atakaye kasirika na wote watamsamehe.... respect kwa VoR
   
 10. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndo akome alomwambia nani kuwa mtoto wa kike huwa anatukanwa?anataka kuleta mambo ya ujafarai kwa shyrose banji!akale jeuri yake ili siku nyingine ajifunze kumuheshimu mwanamke.sijui anatokea kishumundu huyo,aakh...kanikera sana.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahaaah, huu ushauri umetulia!
   
 12. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 9,055
  Likes Received: 21,275
  Trophy Points: 280
  nimeupenda sana ushauri wa VOR. Yaani imetulia kabisa hiyo na hapo asirudie tena hizo msg zake!.
   
 13. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  You are real voice of reason, ushauri wako uko bomba ...lol
   
 14. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Akome kwa matumizi mabaya ya simu,
   
 15. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dhu uongo mwingine hahahahahahahaahaa
   
 16. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe ni hatari,kama wewe ni she basi jamaa ajiandae kudanganywa na kama wewe ni he basi mama ajiandae kudanganywa,maana inaonesha jinsi gani ulivyo mtaalamu wa kutunga uongo,hongera sana
   
 17. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  First Lady:::: Angalai kwenye red, oohhoo ukweni kwa watu huko, patakuwa hapatoshi hapa shauri yako>
   
 18. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana wameelewa ila bado walinipigia wakilaumu kweli kweli. Sijui niwaambie vipi? Maan wanasema huyu mdogo wako hana adabu anatutusi halafu anasema ni virus!!!
  (ii)anatutusi anawasingizia wengine kama wameiba simu yake!!!

  Nikawajibu ngoja nimtafute mdogo wangu nimuulize vizuri...
  Sasa sijui wameelewa au bado hawajaaelewa. Kwa namna navyowajua wazazi wetu hiyo ni issue !
  Bado nahitaji zaid ushauri.
   
 19. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  So! Nisifuate ushauri alionipa ama?
  Maana umetusaidia kabisa ila bado kidogo mambo kuwa sawa maana wazazi wamenipigia wakinilalamikia juu ya tatizo hilo. Na mdogo wangu hapatikani kwenye simu yake tangu hiyo siku.
   
 20. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umetusaidia sana.
   
Loading...