Mwongozo wana JF tafadhali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwongozo wana JF tafadhali...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rugaijamu, Feb 12, 2011.

 1. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ninawaomba kama kuna mwana jf anayefahamu utaratibu/kanuni zinazozingatiwa katika ulipaji wa fedha za likizo kwa mtumishi wa serikali.
   
 2. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Unatutia wasiwasi,umeajiriwa husomi nyaraka zinazokuhusu kama mfanyakazi,au ndio nyinyi mkiajiliwa kila kitu usimuliwe na wenzako,nakushauri utafute staff regurations za serikali,hasa sehemu inayohusu staff benefit,pia ujue utaratibu mzima wa kupeleka claim zako za malipo.
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  asante kwa ushauri.
   
Loading...