Makambi ya Wakimbizi wa Burundi kuchimbwa madini au kulimwa?

Mwanagenzi

JF-Expert Member
Sep 11, 2006
700
213
Serikali, katika mazingira ya utata kiasi na kasi kubwa, iliamua kutoa uraia kwa waliokuwa wakimbizi wa Burundi, wengi wao waliokuwa wakiishi kwenye Makazi ya Katumba na Mishamo huko Mpanda. Inasemekana eneo hilo lina dalili za kuwa na madini mengi ya thamani. Hivi karibuni, WM aliongoza mkutano mkubwa wa wawekezaji wa kilimo, ambao wanakusudia kutumia ardhi ya yaliyokuwa makazi kwa ajili ya kilimo cha kibiashara. Wengi wa wawekezaji hao wanatoka Marekani. Tafakari, chukua hatua...
 
Mwakilishi wa makampuni hayo ya Marekani ni Iddi Simba...na miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na Lau Masha.
 
Wakati WM anazindua Mpango wa Kilimo Kusini mwa Tanzania (Southern Agriicultural Growth Corrdior of Tanzania, SAGCOT) huko Mpanda, siku chache baadaye JK alizindua mpango huo huo huko Uswisi, na serikali ya Marekani imeahidi kuchangia 2bn/- mara moja. Kuna mwenye taarifa za zidi kuhusu SAGCOT? Kuna uhusiano gani kati ya mpango huu na kuvunjwa makazi ya waliokuwa wakimbizi?
 
Mwakilishi wa makampuni hayo ya Marekani ni Iddi Simba...na miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na Lau Masha.

umeulizwa source, mbona hutrushii?, lete ili tui-google tuone upana wake ili tujadiri vizuri la sivyo mjadala haunogi.
 
Wakati WM anazindua Mpango wa Kilimo Kusini mwa Tanzania (Southern Agriicultural Growth Corrdior of Tanzania, SAGCOT) huko Mpanda, siku chache baadaye JK alizindua mpango huo huo huko Uswisi, na serikali ya Marekani imeahidi kuchangia 2bn/- mara moja. Kuna mwenye taarifa za zidi kuhusu SAGCOT? Kuna uhusiano gani kati ya mpango huu na kuvunjwa makazi ya waliokuwa wakimbizi?
.

Ungeunganisha post zote tatu tungepata story kwa uzuri zaidi, any way, ni hoja nzuri sana kwa ni inajulikana kuwa eneo kubwa la ile iliyokuwa Wilaya ya mpanda linahazina kubwa ya madini. BTW inasemekana kuwa mpanda ilikuwa inihabited na mgiriki maarusu aliyekuwa anaitwa Mpeluk na alkuwa na michoro ya ramani za maeneo yenye hazina ya madini.
 
Back
Top Bottom