The Three most Hated entities in Tanzania

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Je unajua machukizo makuu matatu('the three most hated entities in Tanzania) kwa watanzania haswa kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kutokana na kuwa kikwazo kikubwa kwa watanzania kujipatia maendeleo yao ya kiuchumi, kijamii na kisiasa? Vitu hivi vitatu vifuatavyo ndivyo vinavyoongoza kwa kuchukiwaau machukizo makubwa kwa asilimia kubwa:

1. CCM na Serikali Yake

2. Shirika la umeme (Tanesco)

3. Jeshi la Polisi

Ukitaka proof nisemayo pita mitaani tu usikilize malalamiko ya watu kuhusu chanzo cha matatizo wanayoyapata.
 
bt mvumbuzi unajua maneno ya chinichini huwa hayana madhara makubwa,its beta if we open our mouth and raise our voices
 
Kuna tofauti kati ya wanachama wa ccm na viongozi wa ccm!! Wananchi wanawachukia viongozi wa ccm kwani wao ndio vinara wa ufisadi nchini hivyo kudumaza maendeleo yao!!
 
Back
Top Bottom