Apigwa busu kwa mara ya kwanza, Afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Apigwa busu kwa mara ya kwanza, Afariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Feb 11, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Msichana mmoja wa nchini Uingereza amefariki dunia punde baada ya kupigwa busu kwa mara ya kwanza na mpenzi wake.
  Jemma Benjamin msichana mwenye umri wa miaka 18 alikuwa kwenye matembezi na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 21, mwanafunzi wa chuo kikuu, Daniel Ross.

  Mwisho wa matembezi yao, kwa mara ya kwanza katika uhusiano wao wa miezi mitatu, Daniel alimpiga busu Jemma ambaye ghafla baada ya busu hilo alijinyoosha kwenye kiti huku akitoka mapovu mdomoni na kufariki hapo hapo mbele ya mpenzi wake.

  Kwa mujibu uchunguzi wa gazeti la Telegraph la Uingereza, Jemma alifariki kutokana na ugonjwa wa kifo cha ghafla (Sudden Adult Death Syndrome) ambao hupelekea vifo vya watu 500 kila mwaka nchini Uingereza.

  Daniel aliwaambia polisi kuwa kwa mara ya kwanza katika uhusiano wake wa miezi mitatu na Jemma, siku hiyo ndio ilikuwa mara ya kwanza kumpiga busu mdomoni.

  Akielezea kifo cha mpenzi wake, Daniel alisema kuwa Jemma alifunga macho yake, alianza kutokwa na mapovu mdomoni alijinyoosha kwenye kiti na kufariki dunia.

  Familia ya Jemma imesema kuwa imeshtushwa na kifo cha ghafla cha binti yao kwani alikuwa mwenye afya njema na mchezaji mzuri wa mpira wa magongo.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mambo ya malavidavi haya
   
 3. J

  Jahom JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 26, 2008
  Messages: 349
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hata nyuki dume hufa baada ya bao, akifa binadamu ni issue. RIP
   
 4. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mmh,hapo ipo kazi.tatizo mijanaume mingine unaipa mabusu yenyewe inang'ang'ana na koromeo.mie hayo mambo ya kutiana shombo za mdomo nlishayakataa mapemaaa kuogopa kuwahishwa akhera kabla ya muda
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mweeh!!!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Haya ni maajabu, how come busu likaua mtu!
   
 7. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Nyie subirini tu kuna wengine watafia wakipiga busu chumvini
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Labda jamaa domo lake lilikuwa linanuka
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  ...ahahahahahahaaaah, Au ana ulimi kama upanga.
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha kweli midume muwe mnasafisha vinywa hahha hahha
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tafadhali.......tuombe radhi.
   
 12. kijanamakini

  kijanamakini Senior Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :A S 20: damn..thats sad n abnormal!!!!!!!!!
   
 13. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kuna wengine unakuta tu cultural yao hairuhusu kupigwa busu so yawezekana ameeta tofauti na mila zao na desturi inawezekana hiyo wajameni!
   
 14. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha ha ha Chapa Naro umenifurahisha sana.
   
 15. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  inadepend man kuna watu wazoefu na hzo vitu!!!ila ni hatari kwakweli!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!
   
 17. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mackin haikuwa bahat yake so valentine hii cjui atashnda na nan cjui
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hiyo tunaita coincidence. Yaani hata kama jamaa angechelewa dk 3 kabla ya kumpiga busu huyo binti angekauka tu. Ni kwa vile haiwezekani kurewind
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  alikuwa ajawai kuguswa so ule mshituko akashindwa kuhimili msisimko ndio mana wanasema ucyaamche mapenzi kabla ya mda wake
   
 20. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na kuna wadada hawasafishi nanii kule halafu wanapenda matembezi ya mdomo kule, kumwambia huwezi yaani?
   
Loading...