Bomoa bomoa nyingine ubungo-kimara??

Bomoa bomoa nyingine ubungo-kimara??

Venoo

Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
31
Reaction score
3
Jana tarehe 11 na leo tarehe 12 February 2011 wafanyakazi wa TANROADS, DSM Regional office wamepita kando kando ya barabara ya morogoro na kuweka alama za 'X' na 'BOMOA TNRD' kwenye nyumba, fence, mabanda zote zinazodaiwa kuwa zimejengwa ndani ya eneo la hifadhi ya barabara ambalo ni mita tisini kwa kila upande!!
 
Back
Top Bottom