Kama Kweli Basi Tuanzishie Kodi ya Gari Lisilo La ABIRIA ya Kiwango CHA SHILINGI ELFU 75 KWA GARI KWA SIKU...NA TUELEZE MAPATO YETU YATAKAYOTOKANA NA HII KODI MAALUM SANA NA MPYA MMNO YATAKUAJE...
Wan Jf, nilisikia hivi majuzi wabunge wamepewa milioni 90 kila mmoja kununua magari. Hongera zao. Sasa twende Gongo la Mboto. Matokeo ya uzembe wa wa serikali yameleta maafa na kuua wenzetu...
Inaitia moyo kuona jinsi JF inavyoendelea kukua na kufahamika zaidi. Pamoja na maendeleo ambayo JF imepata mpaka sasa napendekeza njia zifuatazo zitumike ili kuitangaza zaidi na kwa gharama nafuu...
Wandugu wapenzi, kwanza niwape pole watanzania wenzangu wa gongo la mboto, Mungu awape moyo wa uvumilivu kwa yaliyotokea.Pili nitoe HONGERA zangu kwa ARSENAL kuwafunga Barcelona 2-1, najua wapenzi...
Dakika chache zilizopita nimesikia milipuko kadhaa maeneo ya baharini upande wa pwani ya masaki, msasani au kunduchi. Kuna yeyote mwenye taarifa zaidi?
Wadau,
NAOMBA NISAIDIWE ILI NIJUE, JE MKOA UNAWEZA KUKAA BILA MKUU WA MKOA KWA KIPINDI GANI HASA ( labda kwa mujibu wa katiba) ??,, NAPATA TAABU KUJUA NI VIPI MAENDELEO KUFIKIWA HARAKA KWA...
Wahenga wanasema: Kama hujui kufa, angalia kaburi. Ukiangalia hali ya maisha ya Dar es Salaam na hasa wakazi wa Gongo la Mboto na vitongoji vyake katika saa 24 zilizopita, unapata picha halisi ya...
BBC News - In pictures: Tanzanians flee blasts aftermath
Debris and arms were hurled across the Tanzanian of city of Dar es Salaam on Wednesday night after an accident triggered a series of...
Habari za kiintelejesia nilizo zipata juu ya chanzo cha milipuko ya makombora ni umeme. Kwa kawaida eneo hilo la maghala ya jeshi, alitakiwa kuzimwa viyoyozi kabisa.
Cha kustajabisha...
Kwa mara nyingine tena nitoe pole kwa watanzania wenzangu waliopatwa na janga la mlipuko wa mabomu hapo juzi. Namuopmba mwenynezi Mungu awape faraja kwa rehema zake!
Nirejeree kauli ya serikali...
Habari wanajamii
Nimeona nishee dukuduku langu pamoja nanyi wanajamii, ingawa ninafahamu kuwa si wote wanaoathirika na hali hii kutokana na utofauti wa vipato vyetu. ila ninaamini kwamba kuna...
Habari ya leo ndugu zangu. Ni mara yangu ya kwanza napost coment kwenye ukumbi huu.
wanasiasa wote ni baba mmoja mama mmoja au niite ni sawa na identical twins, kabla hawajachaguliwa hupiga...
Jamani nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kuwa hivi mheshimiwa mkwere huwa anawaza nini kipindi cha matatizo kama hiki?
Naona amekaa kimya sana kwenye mambo magumu kama yafuatayo:
1. Maiti za...
nimefikiria nikaona kuwa ni vema MODS waweke button ya crap kama ilivyo button ya thanks ili mtu akitoa mawazo ambayo hayana msingi au alikuwa na nia tu ya kuchangia ili aonekane nae kaongea basi...
Baada ya tukio la jana katika kambi ya Jeshi Gongo la Mboto nimeona ni vyema tukiliangalia na hili ....................
April mwaka 2009 ulitokea mlipuko wa mabomu katika kambi ya Jeshi la...
Kuna baadhi Vijana (vibaka) kadhaa wa GOMS walikuwa wanapanga waanze kulipua baruti mfululizo ili kuwatisha wananchi wakimbie tena makazi yao kwa kudhani mabomu yanaendelea kulipuliwa ili wao...