How good is your memory | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How good is your memory

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Dec 24, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 2. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Note yet nini imegoma? jaribu kamtihani kakutest kumbukumbu zako za

  • number
  • rangi
  • maumbo,
  • matukio
  na vitu vingine
   
 4. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aisee nimeifanya hii test hadi mwisho. Kweli ni koboko...! Pia ukiangalia mwisho kabisa inakunyesha sababu mbali mbali za kwanini umepata maksi hizo ulizopata.

  Hawa jamaa wapo so good in their research. Yaani wameweza kustudy effect ya hizi test kwenye waizi (Bulgers) na uwezo wao wa ku-detect alarms, uwezo wa Real Estate Agents katika kukumbuka ukubwa wa nyumba e.t.c.

  Hapa ndio unaweza ukaona tofauti ya Mzungu na mwafrika, lakini pia uwezo wa wenzetu katika kufanya research na matumizi ya researches. Baadhi ya vitu vinaonekana kama ni vya kijinga lakini vina impact kubwa sana mno...!
   
 5. C

  Chan Senior Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Impressive.. nitarudia tena nimeshindwa kumaliza!
   
 6. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  duh!
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  vipi mkubwa mbona unaguna
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nawashauri GT wote wajaribu kufanya hili zoezi
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Duuh sijamaliza itabidi nianze tena baadae
   
Loading...