Vibaka wa GOMS wajipanga kulipua baruti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vibaka wa GOMS wajipanga kulipua baruti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPU, Feb 18, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna baadhi Vijana (vibaka) kadhaa wa GOMS walikuwa wanapanga waanze kulipua baruti mfululizo ili kuwatisha wananchi wakimbie tena makazi yao kwa kudhani mabomu yanaendelea kulipuliwa ili wao wapate nafasi ya kuiba
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Radio Mbao
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kwani hajatosheka na walivyoiba???
   
 4. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  GOMS ni nini?
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Goms = Gongo la Mboto
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sawa kaka, ikitokea kweli sijui ndo utasema Radio gani?!!
  Chukua tahadhali kabla ya hatari
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  kaka ikitokea hii lazima usaidie polisi.
  huwezi kusema kuna wezi wamepanga kuiba NBC leo halafu uhojiwe useme huwajui hao wezi.
   
 8. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Lakini mabomu yalipiga hadi vibaka na huenda kati ya majeruhi au waliokufa ni vibaka wenzao, nashauri wawe na subira na huruma katika kipindi hiki kigumu
   
 9. CPU

  CPU JF Gold Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kaka, kwani kutoa taarifa za wizi ni kujua wezi???!!
  Au kutoa tahadhali ni kufahamu mipango yote???
   
Loading...