Nimesikia milipuko kadhaa maeneo ya baharini, anyone with more info, au ni fataki?

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Dakika chache zilizopita nimesikia milipuko kadhaa maeneo ya baharini upande wa pwani ya masaki, msasani au kunduchi. Kuna yeyote mwenye taarifa zaidi?
 
Dakika chache zilizopita nimesikia milipuko kadhaa maeneo ya baharini upande wa pwani ya masaki, msasani au kunduchi. Kuna yeyote mwenye taarifa zaidi?

Na mimi nimeisikia. Nimesikia hiyo milio ila siwezi kuthibitisha ilikuwa milio ya nini. Mwanzoni nilifikiri radi lakini nilivyosikiliza tena. Ilikuwa kama inatoka baharini.
 
hakuna kitu hapo ni mkwara wa ccm kuwatisha wananchi kwa vijimilipuko ili msilete fyoko fyoko. Oh mgomo nchi nzima, mara maandamano tanesco na kadhalika.
 
Watanzania wakisikia mlipuko wanachanganyikiwa sijui kama tutakuja kupiga hatua na uoga wetu
 
mkwere bado yupo hollwood na ma staa wenzake akina bruce wills, john travota, alpacino na samwel jackson bila kumsahau tomy lee johnes. Wanakula bata kwenye makasino, wanajiachia na masauna ya ukweli wala hata hajui kama kuna vimilipuko. Msihofu ni vijimambo tu.
 
Ha ha ha ha kwi kwi kwi teh teh teh.........spectacular one.....rumours has it that jamaa huwa anajirusha sana kwenye makasino.....
 
Back
Top Bottom