Tafakari ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakari ya leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwananganya, Feb 18, 2011.

 1. m

  mwananganya New Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ya leo ndugu zangu. Ni mara yangu ya kwanza napost coment kwenye ukumbi huu.

  wanasiasa wote ni baba mmoja mama mmoja au niite ni sawa na identical twins, kabla hawajachaguliwa hupiga porojo nyingi sana kutaka waonekane wao ni bora, wakishachaguliwa sijui wanapewa maji ya ''bendera''? wanasahau ahadi zao zote na kuangalia maslahi yao. Hakuna wa chama tawala wala wa upinzani aliyekataa milioni 90 za magari. Waliokuwa wanatoka na waliokaa ndani kwenye vikao vyote wametulia kimyaa...
  Eti wanasema mabomu yamelipuka kutokana na matatizo ya umeme ambayo yamesababisha joto kupanda kwenye vyumba vya hifadhi ya mabomu ina maana kunahitajika generator ya mabillion kuwasha AC za kustabilize temperature au? inatisha. jana mbagala, leo gogolamboto, kesho lugalo, keshokutwa lugalo ya upanga, mtondo kunduchi, mtondogoo mbweni... kibaha, mlandizi, ngerengere, tabora ... na kadhalika na kadhalika mmh list ndefu sana, sasa maeneo yote yako karibu na kambi za jeshi tukakae wapi ambako mabomu hayatatufikia? Tafakari
  sijasikia tamko lolote lenye akili kutoka kwa politicians especially the so called opposition the one we thought are our "servior"
  can we be a littlebit practical here??
  Tutafakari jamani.. hii hali si hali loo! hatujui ni kipi kinafuatia
   
 2. m

  mzee wa inshu Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana rafiki, but I think sio vizuri ku-generalize kila kitu bila ya kuwa na
  ushahidi wa kisayansi.

  Nimeshindwa kukuelewa unaposema kuwa wote wanafanana kwa kigezo eti cha kuchukukua magari ya mkopo wa bunge.

  Lazima uelewe kuwa magari hayo hayatolewi kama hisani au rushwa kwa hawa wawakilishi bali ni sheria halali ya ambayo ilpitishwa na bunge kama haki na stahili za mbunge.

  Tusiwapime watu kwa hili moja tu(magari),kwani macho, masikio, ufahamu na akili za kuchambua, kutafakari na kupambanua mambo tunazo.


  ''HATUKUSOMA SANA, ILA MBIVU NA MBICHI TUNAWEZA KUZITOFAUTISHA!''
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani mabomu yamelipuka kisa mgao wa umeme jamani jamani inamana jeshini awana line binafsi kama wazo, tbl na nk ambako awakati umeme je wanawezaje kuweka vitu vya hatari namna hyo bila tahadhari mi naona ni tanzania pekee ambako uhai wa watu auna thamani yeyeto ile hivi kweli hii ni sababu ya kutosheleza au nimasihara kwann kuifadhi silaha nzito kama hizo wakati wanajua tanzania akuna umeme wa kueleweka?
   
Loading...